Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo tunakubaliana sasa Zitto "alifanyiwa ubaya" kisa kutaka uenyekiti?Mbowe ni mwizi sana mchoyo ni mtu mwenye Roho mbaya Dikteta ingawa machoni huzuga kama mtu mngwana , hakuzoea chaguzi kama hii alizoea kupita bila kupingwa, safari hii Lisu kamchangamsha, kamshikisha Adabu mpaka kuwa mwimba Taarabu mipasho na masimango kila akihojiwa na vyombo vya Habari, hata kesho akiongea ataongea masimango kuliko maendeleo ya chama, Mbowe hana Sera hana jipya kapagawa Akili zimedumaa anatumia akili za chawa kulalama hovyo hovyo, Laana ya wizi wa pesa za chama ubaya aliomtendea wangwe, zito na juzi juzi Heche inamtafuna sana
Mnyika yupo yupo katikati hana kambi rasmi huyo John mrema ndiyo Timu mbowe kwenye zile kamati za Roho mbaya za kumdhoofisha LisuJohn Mrema na Mnyika?
Anza na wangwe aliyeuawa kabsa kisha njoo kwa Zito aliyetiliwa sumu na juzi juzi Heche kaugua sana ilibakia kidogo afariki, Mbowe hataki kusikia mtu anawania uenyekiti kwani amefanya ufisadi wa kutisha anahofia mwenyekiti mpya atampeleka jela kwa wizi wa pesa za chamaKwahiyo tunakubaliana sasa Zitto "alifanyiwa ubaya" kisa kutaka uenyekiti?
Huo ndiyo ukweli halisiMboe ameiba mnoo na legacy anauotaka kulinda ni ya wizi si vinginevyo
Aliyehusika kumuua Ben ni ayatola mbowe, tena alimuua kwa tindikali wajuvi wanasema. Mbowe ni gaidi kubwa. Sijui sasa hivi litamtumia nani ili litoe kafaraSaanane aliuliwa na mwendawazimu wa Chato.
Nyie walinda legacy mnaishi kwenye denial bado hamuamini naye kafa tayari na hatorudi.
Mbona Salum hayupo??.....huyu dogo nilimfahamia Mbezi akiwa bado mtoto waliishi kwenye naghorofa ya NSSF mama yake alikuwa ITV.....wakati huo nakunywa KIBUKU ya kupima kwa WAMAKONDE nilikuwa naendesha tiper bovu 👍Hawa ni watu wa karibu zaidi wa mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ambao kama atashinda basi atavuka nao kama watu wake wa mkakati.
Hawa kama hamjui ndiyo walipewa dili la Join The Chain kufyatua na kusambaza kadi za kielektroniki ambapo walikula mgao mnene. Hili ni moja ya madili yaliyogubikwa na ufisadi wa kutisha.
Leo wamejiapiza kufanya kampeni ya kufa mtu ili mtu wao Mbowe apewe mitano tena. Bila shaka wanajua faida ni kwao na si kwa chama maana Mbowe akishinda Chadema kwa uhakika haitokuwa tena Chadema ya sasa.
wapo Sugu, Mbowe mwenyewe, Martin Masese, Henry Kileo, Bony,Bonge na mzee wa lugha chafu Ntobi.
View attachment 3196726
Hapo wenje hayupo, na Kwa utaalamu wangu wa photography interpretation inaonekana ni asubuhi yenye kaubaridi... Inaonekana wenje yupo jikoni kuandaa chai...Bila kusahau Yeriko Nyerere ndio kapiga hio picha..
Wapigaji wakifanya mipango ya upigajiHawa ni watu wa karibu zaidi wa mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ambao kama atashinda basi atavuka nao kama watu wake wa mkakati.
Hawa kama hamjui ndiyo walipewa dili la Join The Chain kufyatua na kusambaza kadi za kielektroniki ambapo walikula mgao mnene. Hili ni moja ya madili yaliyogubikwa na ufisadi wa kutisha.
Leo wamejiapiza kufanya kampeni ya kufa mtu ili mtu wao Mbowe apewe mitano tena. Bila shaka wanajua faida ni kwao na si kwa chama maana Mbowe akishinda Chadema kwa uhakika haitokuwa tena Chadema ya sasa.
wapo Sugu, Mbowe mwenyewe, Martin Masese, Henry Kileo, Bony,Bonge na mzee wa lugha chafu Ntobi.
View attachment 3196726
Hii timu imekaa kipigaji sanaHawa ni watu wa karibu zaidi wa mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ambao kama atashinda basi atavuka nao kama watu wake wa mkakati.
Hawa kama hamjui ndiyo walipewa dili la Join The Chain kufyatua na kusambaza kadi za kielektroniki ambapo walikula mgao mnene. Hili ni moja ya madili yaliyogubikwa na ufisadi wa kutisha.
Leo wamejiapiza kufanya kampeni ya kufa mtu ili mtu wao Mbowe apewe mitano tena. Bila shaka wanajua faida ni kwao na si kwa chama maana Mbowe akishinda Chadema kwa uhakika haitokuwa tena Chadema ya sasa.
wapo Sugu, Mbowe mwenyewe, Martin Masese, Henry Kileo, Bony,Bonge na mzee wa lugha chafu Ntobi.
View attachment 3196726
Huyo mwenye shati ya draft anaitwa Reginald Munisi - Tambaza boy…Mzee wa mipango na Mikakati- ni mkimya Sana Ila mambo yake ni kwenye ground - smooth operator.Hawa ni watu wa karibu zaidi wa mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ambao kama atashinda basi atavuka nao kama watu wake wa mkakati.
Hawa kama hamjui ndiyo walipewa dili la Join The Chain kufyatua na kusambaza kadi za kielektroniki ambapo walikula mgao mnene. Hili ni moja ya madili yaliyogubikwa na ufisadi wa kutisha.
Leo wamejiapiza kufanya kampeni ya kufa mtu ili mtu wao Mbowe apewe mitano tena. Bila shaka wanajua faida ni kwao na si kwa chama maana Mbowe akishinda Chadema kwa uhakika haitokuwa tena Chadema ya sasa.
wapo Sugu, Mbowe mwenyewe, Martin Masese, Henry Kileo, Bony,Bonge na mzee wa lugha chafu Ntobi.
View attachment 3196726
Serikali ilivyokuwa inaamsakama hivyo kipindi kile! Sidhani kama alihusika angekamatwa haraka sana.Dah nikimkumbuka BenS yaani nalia sana. Huyu kigogo Mbowe alimchomekea mwenzake na akamuua ili wapate political justification. Nadhani vijana wa mbowe wajifunze, wasikubali kutumika. Same kwa Sativa.
Wewe kama utaishi milele basi na ccm wataongoza mileleBora ccm iongoze milele kuliko hawa makatuni wa chadema