Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Magufuli alimpiga risasi ikuluSerikali ilivyokuwa inaamsakama hivyo kipindi kile! Sidhani kama alihusika angekamatwa haraka sana.
Aliyemuua Ben ni dikteta kambale mwenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli alimpiga risasi ikuluSerikali ilivyokuwa inaamsakama hivyo kipindi kile! Sidhani kama alihusika angekamatwa haraka sana.
Aliyemuua Ben ni dikteta kambale mwenyewe.
Hawa ni watu wa karibu zaidi wa mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ambao kama atashinda basi atavuka nao kama watu wake wa mkakati.
Hawa kama hamjui ndiyo walipewa dili la Join The Chain kufyatua na kusambaza kadi za kielektroniki ambapo walikula mgao mnene. Hili ni moja ya madili yaliyogubikwa na ufisadi wa kutisha.
Leo wamejiapiza kufanya kampeni ya kufa mtu ili mtu wao Mbowe apewe mitano tena. Bila shaka wanajua faida ni kwao na si kwa chama maana Mbowe akishinda Chadema kwa uhakika haitokuwa tena Chadema ya sasa.
wapo Sugu, Mbowe mwenyewe, Martin Masese, Henry Kileo, Bony,Bonge na mzee wa lugha chafu Ntobi.
View attachment 3196726
Na ukiwaondoa hawa, hakuna Chadema. Kama wapo wataje au weka picha zao hapa tuwalinganishe.Hawa ni watu wa karibu zaidi wa mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ambao kama atashinda basi atavuka nao kama watu wake wa mkakati.
Hawa kama hamjui ndiyo walipewa dili la Join The Chain kufyatua na kusambaza kadi za kielektroniki ambapo walikula mgao mnene. Hili ni moja ya madili yaliyogubikwa na ufisadi wa kutisha.
Leo wamejiapiza kufanya kampeni ya kufa mtu ili mtu wao Mbowe apewe mitano tena. Bila shaka wanajua faida ni kwao na si kwa chama maana Mbowe akishinda Chadema kwa uhakika haitokuwa tena Chadema ya sasa.
wapo Sugu, Mbowe mwenyewe, Martin Masese, Henry Kileo, Bony,Bonge na mzee wa lugha chafu Ntobi.
View attachment 3196726
Dkt Magufuli hahusiki. Kilichotokea BenS alitangulizwa kama chambo ili amtukane Rais ili wakimuua ni rahisi kumsingizia Serikali. Ila ukweli utabaki huo huo, Mbowe ni muuajiSerikali ilivyokuwa inaamsakama hivyo kipindi kile! Sidhani kama alihusika angekamatwa haraka sana.
Aliyemuua Ben ni dikteta kambale mwenyewe.
Basi hapo unathibitisha kuwa Jpm alikuwa hajali raia wake wanapotea , kwa nini polisi hawakuchunguza na kumtia hatiani mbowe? Maana mbowe hana dola ....Dkt Magufuli hahusiki. Kilichotokea BenS alitangulizwa kama chambo ili amtukane Rais ili wakimuua ni rahisi kumsingizia Serikali. Ila ukweli utabaki huo huo, Mbowe ni muuaji
Huu ni mfano wa kijuha na mbumbu pekee atakuelewa fala wewe, Mbowe kazaliwa moshi wenje kazaliwa huko vijijini ziwani victoria, Nyerere mkapa si wazaliwa wa mjini, viongozi asilimia kubwa ni wazaliwa wa vijijini siyo wa mjini, wazaliwa wa mjini wengi ni wajinga jinga, wanaishi kwa majungu fitina na mambo ya hovyo na wengi huwa siyo wasomi huishia kuiba mitihani kumiliki vyeti pasipo na Taaluma halisi kichwani, kuzaliwa mjini ndiyo kuwa na masimango kuimba Taarabu mipasho ? Chawa wa mbowe mnakula pesa za mbowe bure kisha mnamdhalilisha mitandaonihuyu lissu mnyaturu ni mlugaluga aliyefadhiliwa mpaka makao ya kuishi na Mbowe , maana alikuja mjini na lori la mkaa.......
Sugu ni aibu kwa wana MbeyaHawa ni watu wa karibu zaidi wa mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ambao kama atashinda basi atavuka nao kama watu wake wa mkakati.
Hawa kama hamjui ndiyo walipewa dili la Join The Chain kufyatua na kusambaza kadi za kielektroniki ambapo walikula mgao mnene. Hili ni moja ya madili yaliyogubikwa na ufisadi wa kutisha.
Leo wamejiapiza kufanya kampeni ya kufa mtu ili mtu wao Mbowe apewe mitano tena. Bila shaka wanajua faida ni kwao na si kwa chama maana Mbowe akishinda Chadema kwa uhakika haitokuwa tena Chadema ya sasa.
wapo Sugu, Mbowe mwenyewe, Martin Masese, Henry Kileo, Bony,Bonge na mzee wa lugha chafu Ntobi.
View attachment 3196726
Ilianzishwa mbowe akiwa gerezanjAlikudanganya nani?
Acha KOROPOKADah nikimkumbuka BenS yaani nalia sana. Huyu kigogo Mbowe alimchomekea mwenzake na akamuua ili wapate political justification. Nadhani vijana wa mbowe wajifunze, wasikubali kutumika. Same kwa Sativa.