kibaraka anachukia sana akiona mambo na picha kama hizi dah 🤣Hawa ni watu wa karibu zaidi wa mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ambao kama atashinda basi atavuka nao kama watu wake wa mkakati.
Hawa kama hamjui ndiyo walipewa dili la Join The Chain kufyatua na kusambaza kadi za kielektroniki ambapo walikula mgao mnene. Hili ni moja ya madili yaliyogubikwa na ufisadi wa kutisha.
Leo wamejiapiza kufanya kampeni ya kufa mtu ili mtu wao Mbowe apewe mitano tena. Bila shaka wanajua faida ni kwao na si kwa chama maana Mbowe akishinda Chadema kwa uhakika haitokuwa tena Chadema ya sasa.
wapo Sugu, Mbowe mwenyewe, Martin Masese, Henry Kileo, Bony,Bonge na mzee wa lugha chafu Ntobi.
View attachment 3196726
Sura za kipigaji pigaji tu.Hawa ni watu wa karibu zaidi wa mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ambao kama atashinda basi atavuka nao kama watu wake wa mkakati.
Hawa kama hamjui ndiyo walipewa dili la Join The Chain kufyatua na kusambaza kadi za kielektroniki ambapo walikula mgao mnene. Hili ni moja ya madili yaliyogubikwa na ufisadi wa kutisha.
Leo wamejiapiza kufanya kampeni ya kufa mtu ili mtu wao Mbowe apewe mitano tena. Bila shaka wanajua faida ni kwao na si kwa chama maana Mbowe akishinda Chadema kwa uhakika haitokuwa tena Chadema ya sasa.
wapo Sugu, Mbowe mwenyewe, Martin Masese, Henry Kileo, Bony,Bonge na mzee wa lugha chafu Ntobi.
View attachment 3196726
Dah nikimkumbuka BenS yaani nalia sana. Huyu kigogo Mbowe alimchomekea mwenzake na akamuua ili wapate political justification. Nadhani vijana wa mbowe wajifunze, wasikubali kutumika. Same kwa Sativa.Hawa ni watu wa karibu zaidi wa mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ambao kama atashinda basi atavuka nao kama watu wake wa mkakati.
Hawa kama hamjui ndiyo walipewa dili la Join The Chain kufyatua na kusambaza kadi za kielektroniki ambapo walikula mgao mnene. Hili ni moja ya madili yaliyogubikwa na ufisadi wa kutisha.
Leo wamejiapiza kufanya kampeni ya kufa mtu ili mtu wao Mbowe apewe mitano tena. Bila shaka wanajua faida ni kwao na si kwa chama maana Mbowe akishinda Chadema kwa uhakika haitokuwa tena Chadema ya sasa.
wapo Sugu, Mbowe mwenyewe, Martin Masese, Henry Kileo, Bony,Bonge na mzee wa lugha chafu Ntobi.
View attachment 3196726
Hawa ndio watakua sura ya chadema? Kuna mjinga ataenda kupiga kura?Hawa ni watu wa karibu zaidi wa mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ambao kama atashinda basi atavuka nao kama watu wake wa mkakati.
Hawa kama hamjui ndiyo walipewa dili la Join The Chain kufyatua na kusambaza kadi za kielektroniki ambapo walikula mgao mnene. Hili ni moja ya madili yaliyogubikwa na ufisadi wa kutisha.
Leo wamejiapiza kufanya kampeni ya kufa mtu ili mtu wao Mbowe apewe mitano tena. Bila shaka wanajua faida ni kwao na si kwa chama maana Mbowe akishinda Chadema kwa uhakika haitokuwa tena Chadema ya sasa.
wapo Sugu, Mbowe mwenyewe, Martin Masese, Henry Kileo, Bony,Bonge na mzee wa lugha chafu Ntobi.
View attachment 3196726
Lisu ni tatizo upstairs! Time will ellSura za kipigaji pigaji tu.
Huyu siyo chawa promax. Hao hapo juu ni zaidi ya machawaHuyu mbona kama hayupo!View attachment 3196731
Punguza hiyo kitu unayotumia yohanaChadema ni chama Cha mafisadi Ndio sababu Shujaa Magufuli aliwaondoa Wazalendo wote na kuwaleta CCM 😂😂
Tatizo kimeanza lini, baada ya kutaka kuchuana na mchaga mwenzio Mbowe?Lisu ni tatizo upstairs! Time will ell
Uongo mbaya, sisi wenye macho ya rohoni kwa hizi sura, roho inakataa kabisa.. they look evilHawa ndio watakua sura ya chadema? Kuna mjinga ataenda kupiga kura?
Yes, kanda ya Victoria, wakitoka hapo wanaelekea kanda ya Serengeti. Kanda baada ya kanda kuweka mambo sawa.Wako Mwanza?