Picha: Mbowe akiwa na watu wake wa karibu ambao wanajulikana kama "machawa" wake


So what kwani wewe huna rafiki au marafiki??????
 
Na ukiwaondoa hawa, hakuna Chadema. Kama wapo wataje au weka picha zao hapa tuwalinganishe.
 
Serikali ilivyokuwa inaamsakama hivyo kipindi kile! Sidhani kama alihusika angekamatwa haraka sana.
Aliyemuua Ben ni dikteta kambale mwenyewe.
Dkt Magufuli hahusiki. Kilichotokea BenS alitangulizwa kama chambo ili amtukane Rais ili wakimuua ni rahisi kumsingizia Serikali. Ila ukweli utabaki huo huo, Mbowe ni muuaji
 
Dkt Magufuli hahusiki. Kilichotokea BenS alitangulizwa kama chambo ili amtukane Rais ili wakimuua ni rahisi kumsingizia Serikali. Ila ukweli utabaki huo huo, Mbowe ni muuaji
Basi hapo unathibitisha kuwa Jpm alikuwa hajali raia wake wanapotea , kwa nini polisi hawakuchunguza na kumtia hatiani mbowe? Maana mbowe hana dola ....
 
huyu lissu mnyaturu ni mlugaluga aliyefadhiliwa mpaka makao ya kuishi na Mbowe , maana alikuja mjini na lori la mkaa.......
Huu ni mfano wa kijuha na mbumbu pekee atakuelewa fala wewe, Mbowe kazaliwa moshi wenje kazaliwa huko vijijini ziwani victoria, Nyerere mkapa si wazaliwa wa mjini, viongozi asilimia kubwa ni wazaliwa wa vijijini siyo wa mjini, wazaliwa wa mjini wengi ni wajinga jinga, wanaishi kwa majungu fitina na mambo ya hovyo na wengi huwa siyo wasomi huishia kuiba mitihani kumiliki vyeti pasipo na Taaluma halisi kichwani, kuzaliwa mjini ndiyo kuwa na masimango kuimba Taarabu mipasho ? Chawa wa mbowe mnakula pesa za mbowe bure kisha mnamdhalilisha mitandaoni
 
Sugu ni aibu kwa wana Mbeya
 
Dah nikimkumbuka BenS yaani nalia sana. Huyu kigogo Mbowe alimchomekea mwenzake na akamuua ili wapate political justification. Nadhani vijana wa mbowe wajifunze, wasikubali kutumika. Same kwa Sativa.
Acha KOROPOKA
 
Wajumbe ndio mnakwenda kuwa chama au kukiinua. Mkimchagua mbowe kwaherini cdm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…