Picha: Mbowe alipokuwa anaingia viwanja vya Bomang'ombe - Ardhi yatikisika, Umati ni mkubwa kuliko maelezo!

Kizuri kula na nduguyo
Basi acha leo nikuulize swali.

Mbowe vs Magufuli 2020?

Usiseme Lissu, kwa sababu tayari wanamtafutia sababu za kumzuia asizoweza kuzipiga chini.

Sioni tatizo kwa Mbowe kuitafuta tena nafasi hiyo, kwa sababu amekwishaonyesha uwezo. Kama Magufuli ameweza, kwa nini Mbowe asiweze, angalao hata kwa mhula mmoja naye tumpime!
 
Wenye pesa ccm sio waropokaji
Ona jamaa yako anakoromea miti tu, tena huko ni jimboni kwake. Yale mafuriko yote yameyeyuka.

Picha yenyewe hadi wanaona aibu na kuweka ya wakati wa kampeni za uchaguzi, ha ha ha. KUB kwishilia mbali.

Bila ya kujifariji namna hii mnaweza kujaa hospitali kwa magonjwa!
Namna hii?[emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_20200301-010710.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1372837
Wakuu wakati mwingine tunaandika humu JF hadi tunashindwa kueleza , Kiukweli haya mambo sometimes hayaelezeki .

Tunaomba radhi sana kwa tunaowakwaza kwa habari zetu hizi motomoro za Mbowe na Chadema , hatuwezi kuficha , maana kuna msemo wa kiswahili unasena hivi , Kizuri kula na nduguyo
Kwa kweli umati mkubwa hivi unatia moyo, ila angalizo kuhusu umati, shuhudia umati huu

3X6A6344.jpg

LOWASA 3.jpg
CHADEMA MWANZA (7).JPG
CHADEMA MWANZA (3).JPG
CHADEMA MWANZA (2).JPG

Na haikusaidia kitu, hivyo tusitegemee sana umati mkubwa wa watu, jee wamejiandikisha?, jee siku ya uchaguzi watajitokeza kupiga kura?, jee watampigia mgombea wako?.

Natoa angalizo kabisa

Kama kipimo cha ushindi ni idadi ya watu, Lowassa ndiye rais wetu

Uchaguzi 2015 - Hii 'Vox Populi' ni 'Vox Dei' Kuhusu 'Jiwe Walilolikataa Waashi'?
P
 
Kwa hayo maswali ulio uliza natumaini unakubaliana na tume kuwa ipo sahihi haibiwi mtu!
Kwa kweli umati mkubwa hivi unatia moyo, ila angalizo kuhusu umati, shuhudia umati huu

View attachment 1373220
View attachment 1373225View attachment 1373226View attachment 1373227View attachment 1373228
Na haikusaidia kitu, hivyo tusitegemee sana umati mkubwa wa watu, jee wamejiandikisha?, jee siku ya uchaguzi watajitokeza kupiga kura?, jee watampigia mgombea wako?.

Natoa angalizo kabisa

Kama kipimo cha ushindi ni idadi ya watu, Lowassa ndiye rais wetu

Uchaguzi 2015 - Hii 'Vox Populi' ni 'Vox Dei' Kuhusu 'Jiwe Walilolikataa Waashi'?
P
 
Kwa kweli umati mkubwa hivi unatia moyo, ila angalizo kuhusu umati, shuhudia umati huu

View attachment 1373220
View attachment 1373225View attachment 1373226View attachment 1373227View attachment 1373228
Na haikusaidia kitu, hivyo tusitegemee sana umati mkubwa wa watu, jee wamejiandikisha?, jee siku ya uchaguzi watajitokeza kupiga kura?, jee watampigia mgombea wako?.

Natoa angalizo kabisa

Kama kipimo cha ushindi ni idadi ya watu, Lowassa ndiye rais wetu

Uchaguzi 2015 - Hii 'Vox Populi' ni 'Vox Dei' Kuhusu 'Jiwe Walilolikataa Waashi'?
P
Hizo picha zinahusiana nini na uzi huu ?
 
View attachment 1372837
Wakuu wakati mwingine tunaandika humu JF hadi tunashindwa kueleza , Kiukweli haya mambo sometimes hayaelezeki .

Tunaomba radhi sana kwa tunaowakwaza kwa habari zetu hizi motomoro za Mbowe na Chadema , hatuwezi kuficha , maana kuna msemo wa kiswahili unasena hivi , Kizuri kula na nduguyo
Huo ni umati wa watu?
 
Back
Top Bottom