ccm bila polisi ni nothing,tuendelee kujenga hizi hasira na visasi na tupo in a line kuwa taifa lenye violence,ndipo majirani wenzetu SA walipofikia nasi hatupo mbali,fikiria hili linatokea pale Polokwane kwa CIC Malema kukamatwa hivi na polisi(ninaamini hili halitakuja kutokea maana ANC SIO STUPID ),nasi tunasogea hapo,kitakachofuata ni vurugu tu sisi sio kisiwa au tupo immune na yanayotokea kwa jirani zetu.wamalawi watu wapole,honest,hard working,sasa wameshachoka .Walinzi kibao..lakini ilipofika landcruiser yenye benders nyekundu walinzi wote waliyeyuka