Pre GE2025 PICHA: Mbowe, Lissu walivyokutana uso kwa uso kwenye Kikao cha Kamati Kuu Chadema

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wakuu

Vipi tusiamini vicheko😀?

==

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwa na Makamu mwenyekiti wake, Tundu Lissu wakati wa kikao cha Kamati Kuu ya Chadema kinachoendelea makao makuu ya chama hicho, Mikocheni Dar es Salaam, leo Ijumaa, Januari 10, 2025.
IMG_2450.jpeg

Kabla ya Kikao Lissu kupitia BBC Swahili>>>"Tukikutana hivi kwenye vikao hatupigani ngumi…"

Soma: Tundu Lissu awataja viongozi wa CHADEMA ambao hawajatubu kwa Mbowe na anawashughulikia ndani ya Chama
 
Siasa sio uadui, wacha waendelee kushindana kwa hoja na sio kuumizana kimwili, ni ukomavu wa kisiasa.

Kama ni mchezo wanacheza Mbowe na Lisu ili kuipa nafasi Chadema ya kuongelewa miongoni mwa Wananchi basi wamefaulu sana.

Ndani ya huu mwezi nadhani mijadala mikubwa ni kuhusu Chadema tu
 
Wakuu

Vipi tusiamini vicheko😀?

==

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwa na Makamu mwenyekiti wake, Tundu Lissu wakati wa kikao cha Kamati Kuu ya Chadema kinachoendelea makao makuu ya chama hicho, Mikocheni Dar es Salaam, leo Ijumaa, Januari 10, 2025.
View attachment 3197565
Siasa sio uadui Bali ni tofauti ya mtazamo, kinachowaweka hapo ni nafasi zao na sio vingine
 
Wakuu

Vipi tusiamini vicheko😀?

==

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwa na Makamu mwenyekiti wake, Tundu Lissu wakati wa kikao cha Kamati Kuu ya Chadema kinachoendelea makao makuu ya chama hicho, Mikocheni Dar es Salaam, leo Ijumaa, Januari 10, 2025.
View attachment 3197565
Huyu anayeinama kama wa jinsia ya Beijing ndio apewe chama! Hana hata confidence ya kuangalia watu
 
Wakuu

Vipi tusiamini vicheko😀?

==

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwa na Makamu mwenyekiti wake, Tundu Lissu wakati wa kikao cha Kamati Kuu ya Chadema kinachoendelea makao makuu ya chama hicho, Mikocheni Dar es Salaam, leo Ijumaa, Januari 10, 2025.
View attachment 3197565
Maria atampigia simu lissu sasa hivi atamwambia ampelekee ufunguo wa gari aliemnunulia kwa michango
 
Wakuu

Vipi tusiamini vicheko😀?

==

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwa na Makamu mwenyekiti wake, Tundu Lissu wakati wa kikao cha Kamati Kuu ya Chadema kinachoendelea makao makuu ya chama hicho, Mikocheni Dar es Salaam, leo Ijumaa, Januari 10, 2025.
View attachment 3197565
Lissu hana maji na mbowe amekuja na maji yake tofauti na wengine.
 
Wakitoka hapo spana ziendelee. Hizi ni zama za ukweli na uwazi.

The truth is going to be revealed everywhere on earth in our current era.
Mkuu chukua maua yako 💐💐💐💐
 
Back
Top Bottom