Pre GE2025 PICHA: Mbowe, Lissu walivyokutana uso kwa uso kwenye Kikao cha Kamati Kuu Chadema

Pre GE2025 PICHA: Mbowe, Lissu walivyokutana uso kwa uso kwenye Kikao cha Kamati Kuu Chadema

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakitoka hapo spana ziendelee. Hizi ni zama za ukweli na uwazi.

The truth is going to be revealed everywhere on earth in our current era.
Spana kama z wake wenza
 
Wakuu

Vipi tusiamini vicheko😀?

==

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwa na Makamu mwenyekiti wake, Tundu Lissu wakati wa kikao cha Kamati Kuu ya Chadema kinachoendelea makao makuu ya chama hicho, Mikocheni Dar es Salaam, leo Ijumaa, Januari 10, 2025.
View attachment 3197565
PICHA: Mwananchi
Kabla ya Kikao Lissu kupitia BBC Swahili>>>"Tukikutana hivi kwenye vikao hatupigani ngumi…"

Soma: Tundu Lissu awataja viongozi wa CHADEMA ambao hawajatubu kwa Mbowe na anawashughulikia ndani ya Chama
LISSU ANAJIFANYA ANAONA AIBU KUMWANGALIA MWENZAKE YAAANI MAMB YA KITOTO SANA WANAFANYA
 
Happo mbowe ameshapiga hesabu ushindi ni alfajiri kabla hajawika jogoo😄😄😄

Kina sugu hawalali kutengeneza kura
 
Maexpert hapo umalize maji yote ndo uende wash room au ukibakiza basi ukirudi ufungue mengine
 
Yale Makaburi yaliyochimbwa na CCM hatimae yamejaa maji na kuwa visima.😁😁😆🤣
 
I can see, they don’t like each other…!! Naturally (kiasili) Lissu mkorofi sana
 
Siasa sio uadui, wacha waendelee kushindana kwa hoja na sio kuumizana kimwili, ni ukomavu wa kisiasa.

Kama ni mchezo wanacheza Mbowe na Lisu ili kuipa nafasi Chadema ya kuongelewa miongoni mwa Wananchi basi wamefaulu sana.

Ndani ya huu mwezi nadhani mijadala mikubwa ni kuhusu Chadema tu
Mpaka habari za makonda na gambo zimepita watu hawana time na vijembe vyao
 
Wakuu

Vipi tusiamini vicheko😀?

==

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwa na Makamu mwenyekiti wake, Tundu Lissu wakati wa kikao cha Kamati Kuu ya Chadema kinachoendelea makao makuu ya chama hicho, Mikocheni Dar es Salaam, leo Ijumaa, Januari 10, 2025.
View attachment 3197565
PICHA: Mwananchi
Kabla ya Kikao Lissu kupitia BBC Swahili>>>"Tukikutana hivi kwenye vikao hatupigani ngumi…"

Soma: Tundu Lissu awataja viongozi wa CHADEMA ambao hawajatubu kwa Mbowe na anawashughulikia ndani ya Chama
Hii ni ya 2015 😂😂😂😂. Ngoja uone
 
Back
Top Bottom