Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lissu anaona aibu hapo vibaya!Wakuu
Vipi tusiamini vicheko😀?
==
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwa na Makamu mwenyekiti wake, Tundu Lissu wakati wa kikao cha Kamati Kuu ya Chadema kinachoendelea makao makuu ya chama hicho, Mikocheni Dar es Salaam, leo Ijumaa, Januari 10, 2025.
View attachment 3198012
Kabla ya Kikao Lissu kupitia BBC Swahili>>>"Tukikutana hivi kwenye vikao hatupigani ngumi…"
Soma: Tundu Lissu awataja viongozi wa CHADEMA ambao hawajatubu kwa Mbowe na anawashughulikia ndani ya Chama
Ni aibu sana.Huyu anayeinama kama wa jinsia ya Beijing ndio apewe chama! Hana hata confidence ya kuangalia watu