Pre GE2025 PICHA: Mbowe, Lissu walivyokutana uso kwa uso kwenye Kikao cha Kamati Kuu Chadema

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakuu

Vipi tusiamini vicheko😀?

==

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwa na Makamu mwenyekiti wake, Tundu Lissu wakati wa kikao cha Kamati Kuu ya Chadema kinachoendelea makao makuu ya chama hicho, Mikocheni Dar es Salaam, leo Ijumaa, Januari 10, 2025.
View attachment 3197565
PICHA: Mwananchi
Kabla ya Kikao Lissu kupitia BBC Swahili>>>"Tukikutana hivi kwenye vikao hatupigani ngumi…"

Soma: Tundu Lissu awataja viongozi wa CHADEMA ambao hawajatubu kwa Mbowe na anawashughulikia ndani ya Chama
alikuwa power breakfast sasa hii imetoka wapi?
 
Wakuu

Vipi tusiamini vicheko😀?

==

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwa na Makamu mwenyekiti wake, Tundu Lissu wakati wa kikao cha Kamati Kuu ya Chadema kinachoendelea makao makuu ya chama hicho, Mikocheni Dar es Salaam, leo Ijumaa, Januari 10, 2025.
View attachment 3198012
Kabla ya Kikao Lissu kupitia BBC Swahili>>>"Tukikutana hivi kwenye vikao hatupigani ngumi…"

Soma: Tundu Lissu awataja viongozi wa CHADEMA ambao hawajatubu kwa Mbowe na anawashughulikia ndani ya Chama
Wengine wote wanakunywa Dew drop water. Mbowe anakunywa ya Kilimanjaro....

Bado hamjastuka tu hapo?
 
Wakuu

Vipi tusiamini vicheko😀?

==

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwa na Makamu mwenyekiti wake, Tundu Lissu wakati wa kikao cha Kamati Kuu ya Chadema kinachoendelea makao makuu ya chama hicho, Mikocheni Dar es Salaam, leo Ijumaa, Januari 10, 2025.
View attachment 3198012
Kabla ya Kikao Lissu kupitia BBC Swahili>>>"Tukikutana hivi kwenye vikao hatupigani ngumi…"

Soma: Tundu Lissu awataja viongozi wa CHADEMA ambao hawajatubu kwa Mbowe na anawashughulikia ndani ya Chama
Kukua kwa demokrasia ndani ya CHADEMA
 
IMG_7671.jpeg

‘Baada ya ubaya, inafuata aibu’, tazama Mbowe anavyoangalia umma na Lissu anavyoona aibu kuangalia kadamnasi,
 
Back
Top Bottom