Pre GE2025 PICHA: Mbowe, Lissu walivyokutana uso kwa uso kwenye Kikao cha Kamati Kuu Chadema

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakitoka hapo spana ziendelee. Hizi ni zama za ukweli na uwazi.

The truth is going to be revealed everywhere on earth in our current era.
Spana kama z wake wenza
 
LISSU ANAJIFANYA ANAONA AIBU KUMWANGALIA MWENZAKE YAAANI MAMB YA KITOTO SANA WANAFANYA
 
Happo mbowe ameshapiga hesabu ushindi ni alfajiri kabla hajawika jogoo😄😄😄

Kina sugu hawalali kutengeneza kura
 
Maexpert hapo umalize maji yote ndo uende wash room au ukibakiza basi ukirudi ufungue mengine
 
Yale Makaburi yaliyochimbwa na CCM hatimae yamejaa maji na kuwa visima.😁😁😆🤣
 
I can see, they don’t like each other…!! Naturally (kiasili) Lissu mkorofi sana
 
Mpaka habari za makonda na gambo zimepita watu hawana time na vijembe vyao
 
Hii ni ya 2015 😂😂😂😂. Ngoja uone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…