Wakuu
Vipi tusiamini vichekoš?
==
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwa na Makamu mwenyekiti wake, Tundu Lissu wakati wa kikao cha Kamati Kuu ya Chadema kinachoendelea makao makuu ya chama hicho, Mikocheni Dar es Salaam, leo Ijumaa, Januari 10, 2025.
View attachment 3198012
Kabla ya Kikao Lissu kupitia BBC Swahili>>>"Tukikutana hivi kwenye vikao hatupigani ngumiā¦"
Soma:
Tundu Lissu awataja viongozi wa CHADEMA ambao hawajatubu kwa Mbowe na anawashughulikia ndani ya Chama