Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
Hii daraja lipo katika local scale, imagine 31M doing a bridge thing!, thats little money, they couldnt be fools to wait that long before short-term solution. I personally commend them kwa hatua hio.Suala siyo kuona thamani ya hiko kidaraja. Hapa hoja ni kwamba hivi tumekuwa maskini kiasi hicho!??? Kwa nini mzalendo mmoja asiseme anaacha ubunge au utumishi kama serikali haitagharimia daraja la maana!???
Huoni hayo milioni yanaenda kupotea ndani ya muda mfupi, baada ya tumbao hutwo kuoza!??? Hivi ile Benzi ya Mzee Ruksa na kasri ya Mzee wa Msoga ni sawa na madaraja mangapi yenye hadhi sawa na ile ya Magufuli ya Kakongo-Busisi!??? Tanzania inarudi haraka ilikotoka.
Simply, Bi Mkubwa kazi imemshinda mapema sana!!!