KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Kwa iyo likiliwa na mchwa baada ya miaka 2 watenge bajeti nyingine?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie naona wananchi hao wapongezwe aisee 'kwa kudiriki' na kujiongeza......bila kusubiri bajeti sijui,na msaada toka serikalini kuu na hivyo kuweza kujijengea hiyo ' Tanzanite bridge' yao' kijijini....... licha ya kuwa na mazingira magumu na umaskini walionao huko vijijini........... kazi kwelikweli.Ukiangalia alizidi urefu wa 30 meters.
Wananunua V8 VX hadi za milioni 400 kuwapa ma RC, DC, DED, RAS, DAS, Wakuu wa Idara, W, N/W, Makatibu, SG, KK etc lakini wanashindwa kujenga kadaraja kasikozidi 30 meters.
Inabidi wawekePICHA YA SIKU: Hili ni Daraja jipya katika Mto Mngeta uliopo katika mji wa Mlimba wilayani Kilombero.
Daraja hili limejengwa kwa miezi 7 kwa thamani ya shilingi milioni 31, na limejengwa kwa miti.
Pichani ni mbunge wa jimbo la Mlimba, Godwin Kunambi, akikakagua mradi.
Traffic lights kwa ajili ya kusaidia magari yapishane,,PICHA YA SIKU: Hili ni Daraja jipya katika Mto Mngeta uliopo katika mji wa Mlimba wilayani Kilombero.
Daraja hili limejengwa kwa miezi 7 kwa thamani ya shilingi milioni 31, na limejengwa kwa miti.
Pichani ni mbunge wa jimbo la Mlimba, Godwin Kunambi, akikakagua mradi.
Alafu mbao za mse prasi sasa.PICHA YA SIKU: Hili ni Daraja jipya katika Mto Mngeta uliopo katika mji wa Mlimba wilayani Kilombero.
Daraja hili limejengwa kwa miezi 7 kwa thamani ya shilingi milioni 31, na limejengwa kwa miti.
Pichani ni mbunge wa jimbo la Mlimba, Godwin Kunambi, akikakagua mradi.
Ukweli ni kwamba hapa mahali panahitaji daraja makini ambalo kimsingi gharama yake ni kubwa, lakini Walau tupongeze hizi jitihada ndogo zilizofanyika wakati tunasubiri serikali itenge pesa kwa ajili ya ujenzi wa daraja la kudumu.
Kwa hizo mbao na si miti kama ulivyongea ni za gharama sana naona mninga umewekwa darajani.
Kinachotakiwa ni uwekwaji wa miti ya pembeni kuzuia ajali zisizo lazima.
Ni kwa pedestrian tuuNajaribu kuwaza hapa nakosa cha kuandika, TARURA walishirikishwa? Tani ngapi zinapita hapo? Otherwise mwanzo mwema. Kubwa nijua Mhe Kunambi anakusanya sh ngapi hapo kwenye halmashauri yake? maana pale Dodoma he did amazing collection.
Huku mbunge akitembelea hapo na gari la zaidi ya 200m/=!PICHA YA SIKU: Hili ni Daraja jipya katika Mto Mngeta uliopo katika mji wa Mlimba wilayani Kilombero.
Daraja hili limejengwa kwa miezi 7 kwa thamani ya shilingi milioni 31, na limejengwa kwa miti.
Pichani ni mbunge wa jimbo la Mlimba, Godwin Kunambi, akikakagua mradi.
Ningependa kumjua au kuona picha ya mkandarasi tu