Picha: Mbunge wa Mlimba akikagua Daraja la Sh. Milioni 31 lilojengwa kwa miti
14A3BDCB-A65D-476B-AFF5-ABA15FBC6ACD.jpeg

SISI NI HATARI KAZI IENDELEE
 
Kuna kazi hapo ila kwa millioni 31 huenda ni makosa ya mtoa taarifa au mpokea taarifa.
 
U
Mambo ya ajabu sana haya. Alafu ndo wanasema eti hamna hela kweli! CCM tumewachoka hamna aibu jamani, kukagua daraja la miti miaka hii? Watanzania nani katuroga? Tunahitaji katiba mpya!
Unaweza kuthibitisha kwamba Asia, Ulaya na Marekani madaraja ya miti hayapo!?
 
PICHA YA SIKU: Hili ni Daraja jipya katika Mto Mngeta uliopo katika mji wa Mlimba wilayani Kilombero.

Daraja hili limejengwa kwa miezi 7 kwa thamani ya shilingi milioni 31, na limejengwa kwa miti.

Pichani ni mbunge wa jimbo la Mlimba, Godwin Kunambi, akikakagua mradi.

View attachment 1872581
Walipotaja hiyo gharama wamenichefua sana. Hicho kidaraja ndio kimetumia milioni 31?????? Upuuzi hautaosha hii nchi, na TAKUKURU wapo na utakuta walialikwa hapo kwenye uzinduzi.
 
Mambo ya ajabu sana haya. Alafu ndo wanasema eti hamna hela kweli! CCM tumewachoka hamna aibu jamani, kukagua daraja la miti miaka hii? Watanzania nani katuroga? Tunahitaji katiba mpya!
Katiba mpya haijengi madaraja mkuu. Kenya wanayo katiba ya 2010 lakini rushwa na ubadhirifu bado viko juu sana
 
Mlimba ni halmashauri mpya yenye miaka miwili sasa.Mimi nipo hapo tangu mwezi wa 3 mwaka jana kupitia ajira za Magufuli.Kifupi madaraja ya halmashauri hiyo hasa yanayo unganisha vijiji,mengi ni madaraja ya aina hiyo.
Hata hivyo pamoja na daraja hilo kuonekana ni duni,lakini ni msaada mkubwa mbele ya wananchi.
 
Mm

Mm nimekaa Kenya mkuu, huwezi nidaganya kitu!! Umeme mpaka vijijini, lami mpaka vijijini, mpaka mabwawa wamechimbiwa vijijini, mpaka vyoo vipo mpaka visimani!!! Usinidanganye kabisa mkuu kuwafikia wakenya leo labda miaka 50 ijayo sio leo
 
Kwa hiyo bajeti ya 31Million iko sawa kabisa ?
 
Mbunge Mlimba mkoani Morogoro, Godwin Kunambi amefanikisha ujenzi wa daraja la muda katika Mto Mngeta ambalo ujenzi wake umegharimu TZS milioni 31. Kunambi amesema atahakikisha hakuna mwananchi anayeliwa na mamba katika mto huo, na lengo ni kujenga daraja la kudumu.
IMG-20210729-WA0022.jpg
 
Mm

Mm nimekaa Kenya mkuu, huwezi nidaganya kitu!! Umeme mpaka vijijini, lami mpaka vijijini, mpaka mabwawa wamechimbiwa vijijini, mpaka vyoo vipo mpaka visimani!!! Usinidanganye kabisa mkuu kuwafikia wakenya leo labda miaka 50 ijayo sio leo
Idadi yao ipoje ukilinganisha na sisi?.
Vp km zao za mraba ukilinganisha na sisi?.
Tuanzie hapo kwanza.
 
PICHA YA SIKU: Hili ni Daraja jipya katika Mto Mngeta uliopo katika mji wa Mlimba wilayani Kilombero.

Daraja hili limejengwa kwa miezi 7 kwa thamani ya shilingi milioni 31, na limejengwa kwa miti.

Pichani ni mbunge wa jimbo la Mlimba, Godwin Kunambi, akikakagua mradi.

🤣🤣
 
Kwa hiyo bajeti ya 31Million iko sawa kabisa ?
Mi siyo mkandarasi hata nijue hesabu za ujenzi!Hivyo siwezi kusema ni sawa ama siyo sawa.Nilichoonesha ni ulazima na umuhimu wa hilo daraja kwa watumiaje.
 
Back
Top Bottom