Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kuthibitisha kwamba Asia, Ulaya na Marekani madaraja ya miti hayapo!?Mambo ya ajabu sana haya. Alafu ndo wanasema eti hamna hela kweli! CCM tumewachoka hamna aibu jamani, kukagua daraja la miti miaka hii? Watanzania nani katuroga? Tunahitaji katiba mpya!
Walipotaja hiyo gharama wamenichefua sana. Hicho kidaraja ndio kimetumia milioni 31?????? Upuuzi hautaosha hii nchi, na TAKUKURU wapo na utakuta walialikwa hapo kwenye uzinduzi.PICHA YA SIKU: Hili ni Daraja jipya katika Mto Mngeta uliopo katika mji wa Mlimba wilayani Kilombero.
Daraja hili limejengwa kwa miezi 7 kwa thamani ya shilingi milioni 31, na limejengwa kwa miti.
Pichani ni mbunge wa jimbo la Mlimba, Godwin Kunambi, akikakagua mradi.
View attachment 1872581
Katiba mpya haijengi madaraja mkuu. Kenya wanayo katiba ya 2010 lakini rushwa na ubadhirifu bado viko juu sanaMambo ya ajabu sana haya. Alafu ndo wanasema eti hamna hela kweli! CCM tumewachoka hamna aibu jamani, kukagua daraja la miti miaka hii? Watanzania nani katuroga? Tunahitaji katiba mpya!
Mm nimekaa Kenya mkuu, huwezi nidaganya kitu!! Umeme mpaka vijijini, lami mpaka vijijini, mpaka mabwawa wamechimbiwa vijijini, mpaka vyoo vipo mpaka visimani!!! Usinidanganye kabisa mkuu kuwafikia wakenya leo labda miaka 50 ijayo sio leoKatiba mpya haijengi madaraja mkuu. Kenya wanayo katiba ya 2010 lakini rushwa na ubadhirifu bado viko juu sana

Yapo lakini sio kwa viwango hivyo!!U
Unaweza kuthibitisha kwamba Asia, Ulaya na Marekani madaraja ya miti hayapo!?
Kwa hiyo bajeti ya 31Million iko sawa kabisa ?Mlimba ni halmashauri mpya yenye miaka miwili sasa.Mimi nipo hapo tangu mwezi wa 3 mwaka jana kupitia ajira za Magufuli.Kifupi madaraja ya halmashauri hiyo hasa yanayo unganisha vijiji,mengi ni madaraja ya aina hiyo.
Hata hivyo pamoja na daraja hilo kuonekana ni duni,lakini ni msaada mkubwa mbele ya wananchi.
mhandisi wa Halmashauri atakwambia tani 30Linaweza kuhimili uzito gani mwisho?
Idadi yao ipoje ukilinganisha na sisi?.Mm
Mm nimekaa Kenya mkuu, huwezi nidaganya kitu!! Umeme mpaka vijijini, lami mpaka vijijini, mpaka mabwawa wamechimbiwa vijijini, mpaka vyoo vipo mpaka visimani!!! Usinidanganye kabisa mkuu kuwafikia wakenya leo labda miaka 50 ijayo sio leo
🤣🤣PICHA YA SIKU: Hili ni Daraja jipya katika Mto Mngeta uliopo katika mji wa Mlimba wilayani Kilombero.
Daraja hili limejengwa kwa miezi 7 kwa thamani ya shilingi milioni 31, na limejengwa kwa miti.
Pichani ni mbunge wa jimbo la Mlimba, Godwin Kunambi, akikakagua mradi.
Mi siyo mkandarasi hata nijue hesabu za ujenzi!Hivyo siwezi kusema ni sawa ama siyo sawa.Nilichoonesha ni ulazima na umuhimu wa hilo daraja kwa watumiaje.Kwa hiyo bajeti ya 31Million iko sawa kabisa ?