Picha: Meli kubwa ya abiria, Norwegian Dawn imetia nanga Dar 16.01.2024

Hiyo meli inasimamiwa na kampuni ya A&K hii ni kampuni ya utalii ofisi zake kwa hapa Tanzania zipo Arusha.
Means this week Arusha kuna mzigo wa kutosha kabisa
 
Nadhani kwenye vichwa kuna kitu hakiko sawa kwa sababu haiwezekani watu wanaamka asubuhi asubuhi na kuanza ku-discuss kuhusu meli. What is the hell?
Hujui tu, ndio maana.
Its a big thing sana
 
Meli imefika wanaofaidika ni watu wenye Coaster za Kukodishwa,Hotel, Casino.

Wajasiliamali wadogo hii ilikuwa fursa yao kuwekewa mazingira kwa kuuza vinyago,urembo na vazi za khanga za Africa. Sehemu za kuuza hivyo vitu zipo mbali na hao watapelekwa baadhi ya maeneo
 
Imekuja na Watalii zaidi ya 2,000.

Mama anafungua Nchi.
#VisitTanzania#
Acha upuuzi , Huwezi vuta pumzi bila kumtaja uliyemtaja?
Huyo mama yupo kila nchi inapopita hiyo meli ya watalii?
Itafika sehemu mumeo anakupa mimba badala ya kumsifia kwa kazi nzuri ya kukukaza unamsifia huyo uliyemtaja.

Norwegian cruise ships go to Caribbean, Tanzania, Bermuda, Alaska, Hawaii, Europe, Africa, Asia, Australia & New Zealand, Bahamas, Canada & New England, Antarctica, Greek Isles, Mediterranean, Mexico, Northern Europe, Pacific Coastal, Panama Canal, South America, Transatlantic, and weekend destinations.
 
Wivu tu Kamanda
 
Meli imefika wanaofaidika ni watu wenye Coaster za Kukodishwa,Hotel, Casino.

Wajasiliamali wadogo hii ilikuwa fursa yao kuwekewa mazingira kwa kuuza vinyago,urembo na vazi za khanga za Africa. Sehemu za kuuza hivyo vitu zipo mbali na hao watapelekwa baadhi ya maeneo
Uchumi unategemeana!!
 
Wakili
Yupi tena?
Wakili Gertrude LHRC.alikuwa anahojiwa asubuhi katika tv.
Anasema,"Nikitoka hapa studio,na nguo zangu nikaziacha hapa,nikaenda mtaani utupu,hakuna sheria ya nchi iliyovunjwa,isipokuwa sheria ya maadili ndio imevunjwa."
Unaona milionea jinsi wanavyoweza kuwafanya mademu waongee vizuri?
 
Back
Top Bottom