Picha: Meli kubwa ya abiria, Norwegian Dawn imetia nanga Dar 16.01.2024

Picha: Meli kubwa ya abiria, Norwegian Dawn imetia nanga Dar 16.01.2024

Wakili

Wakili Gertrude LHRC.alikuwa anahojiwa asubuhi katika tv.
Anasema,"Nikitoka hapa studio,na nguo zangu nikaziacha hapa,nikaenda mtaani utupu,hakuna sheria ya nchi iliyovunjwa,isipokuwa sheria ya maadili ndio imevunjwa."
Unaona milionea jinsi wanavyoweza kuwafanya mademu waongee vizuri?
Getu anapotaja "uchi" anasababisha wanaume wamuangalie, waanze kujenga picha yake alivyo, mbaya zaidi wanaangalia lips zake na kujua saizi ya kiungo husika, upana wa mdomo wake unazungumza.
 
Uchumi unategemeana!!
Ndio, meli kama hiyo inapokuja ndio sehemu ya sisi kutangaza vivutio na utalii wetu.

Hapo ndani TPA kwenye barriers kati ya Berth 1 na 3 ilibidi ziwekwe Tangazo za vivutio. Kwenye main gang way (njia ya kupandia melini) kulitakiwa kuwekwe bango la welcome Tanzania. Hili bango kwenye meli ya cruise ship ya mwaka jana liliwekwa.

Pia tungekuwa na free duty shop hata maeneo ya ndani ya Bandari ingesaidia kuweka maduka ya vitu au kuwa na maduka ya vitu asili maeneo ya water front ambapo saizi pamebaki Gofu.
 
Wazo zuri sana mkuu
 
Kuna ile meli ya mashoga waliizuia kutia nanga.
Wazungu sasa hivi ni wajanja.
Wangesema ina mashoga hiyo wasingeiruhisu.
Ila ukweli watalii 2000 nao wapo
 
Kuweza kuingia Kwa Meli kubwa ya urefu wa mita 294 kunaonyesha kama tutawekeza ipasavyo shughuli za Bandari tutaziweza bila dp world na makampuni mengine iwe TICTS na wengineo.
 
Back
Top Bottom