Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Getu anapotaja "uchi" anasababisha wanaume wamuangalie, waanze kujenga picha yake alivyo, mbaya zaidi wanaangalia lips zake na kujua saizi ya kiungo husika, upana wa mdomo wake unazungumza.Wakili
Wakili Gertrude LHRC.alikuwa anahojiwa asubuhi katika tv.
Anasema,"Nikitoka hapa studio,na nguo zangu nikaziacha hapa,nikaenda mtaani utupu,hakuna sheria ya nchi iliyovunjwa,isipokuwa sheria ya maadili ndio imevunjwa."
Unaona milionea jinsi wanavyoweza kuwafanya mademu waongee vizuri?
Ndio, meli kama hiyo inapokuja ndio sehemu ya sisi kutangaza vivutio na utalii wetu.Uchumi unategemeana!!
Wazo zuri sana mkuuNdio, meli kama hiyo inapokuja ndio sehemu ya sisi kutangaza vivutio na utalii wetu.
Hapo ndani TPA kwenye barriers kati ya Berth 1 na 3 ilibidi ziwekwe Tangazo za vivutio. Kwenye main gang way (njia ya kupandia melini) kulitakiwa kuwekwe bango la welcome Tanzania. Hili bango kwenye meli ya cruise ship ya mwaka jana liliwekwa.
Pia tungekuwa na free duty shop hata maeneo ya ndani ya Bandari ingesaidia kuweka maduka ya vitu au kuwa na maduka ya vitu asili maeneo ya water front ambapo saizi pamebaki Gofu.
Kuingia Kwa Meli kubwa ya Mita 294 ambazo hazikuweza kuingia au kuegeshwa kwenye gati ndio habari ya mujiniHivi mpaka mwaka huu, watalii kuja imekua ni habari...?
Naomba picha ya watalii wakizunguka kwenye vivutioRoyal Tour
na Visit Tanzania kampeni ya Club ya Simba yakuhamasisha Utalii imeanza kuzaa Matunda.
#VisitTanzania#
Huko ndiko ilikotokea.Hiyo meli inasimamiwa na kampuni ya A&K hii ni kampuni ya utalii ofisi zake kwa hapa Tanzania zipo Arusha.
huu ndio uchumi wa blue sasa.
naipongeza serikali chini ya mama dr samia Raisi wa jamuhuri pamoja na viongozi wote wa chama cha mapinduzi