Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Kuna mbwa humu watapinga.Jamani kuna watanzania wajinga hadi wanatia kinyaaNdugu zangu Watanzania,
Tangia kuingia madarakani kwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Amekuwa usiku na mchana akitoa na kuidhinisha mabilionea kwa Matrilioni ya pesa kuelekeza katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na kusogeza huduma za kijamii karibu kabisa na mirango na kaya za watanzania.
Ambapo kila senti inayoingia na kupatikana kutoka vyanzo mbalimbali zimekuwa zikielekezwa kwenye kuleta matokeo chanya kwenye maisha ya watanzania,kuondoa kero,kutatua changamoto,kuleta tabasamu,kuinua maisha ya watu,kutoa ajira kwa watu. Rais Samia ameelekeza na kutumia kila senti katika kupunguza na kuondoa Umaskini wa watanzania na kurahisisha maisha ya watanzania.
Kila senti inayopatikana Rais wetu Mpendwa amehekikisha inakwenda kuchochea maendeleo, kuwawezesha watanzania kujikwamua kiuchua ,kurahisisha mawasiliano kati ya eneo na eneo na kukuza vipato vya watu pamoja na kuchochea shughuli mbalimbali za biashara na kibiashara.
Hii hapa ni miongoni mwa Miradi kati ya miradi mingi isiyohesabika Iliyotekelezwa na kukamilishwa na Rais wetu Mpendwa. Ambapo kuna mingine aliikuta ikiwa katika hatua za awali kabisa na mingine aliianzisha Mwenyewe.
View attachment 3398179View attachment 3398180View attachment 3398181View attachment 3398182View attachment 3398183View attachment 3398184View attachment 3398185View attachment 3398192
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wewe utakufa mdomo wazi huku ukiwa unamuongele le kizimkaziNdugu zangu Watanzania,

Hawawezi kuteua mwendawazimu hana akili timamu hajawahi kusifia wazazi wakeUnajitahidi mwenyewe ila ccm hawakuoni kabisa kama una faa kwa teuzi
Shetani kabisa huyuWewe utakufa mdomo wazi huku ukiwa unamuongele le kizimkazi
Hiyo ni miradi ya watanzania na ni kodi zaoHiyo ni miradi ya Jiwe, huyo mamako aache kudandia treni kwa mbele...atuoneshe mradi wake hata m1 alioufanya kwa 100% ukizingatia yeye ndiye rais mkopaji kuliko woooote in Tz!.
Tume yetu ni huru na imefanyiwa marekebisho.Tume HURU ya kweli ya UCHAGUZI
ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Tangia lini na wewe umepata akili na kuwa na akili za kujua hata wenye akili Timamu.Hawawezi kuteua mwendawazimu hana akili timamu hajawahi kusifia wazazi wake
Makopo unayobeba kutwa nzima yanazalisha kodi kiasi gani.Hiyo ni miradi ya watanzania na ni kodi zao
Aibu akoTangia lini na wewe umepata akili na kuwa na akili za kujua hata wenye akili Timamu.
Utatangulia wewe na ujinga wakoWewe utakufa mdomo wazi huku ukiwa unamuongele le kizimkazi
Ako ndio nini. Ndio maana nasema Makopo yamekuchanganya.Aibu ako
Huna analojua kichwani mwako.Hiyo ni miradi ya Jiwe, huyo mamako aache kudandia treni kwa mbele...atuoneshe mradi wake hata m1 alioufanya kwa 100% ukizingatia yeye ndiye rais mkopaji kuliko woooote in Tz!.
Wewe unanitafuta na nitakushughulikia vibaya snMakopo unayobeba kutwa nzima yanazalisha kodi kiasi gani.