GE2025 PICHA: Miradi Mbalimbali iliyokamilishwa na Rais Samia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ndugu zangu Watanzania,

Tangia kuingia madarakani kwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Amekuwa usiku na mchana akitoa na kuidhinisha mabilionea kwa Matrilioni ya pesa kuelekeza katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na kusogeza huduma za kijamii karibu kabisa na milango na kaya za watanzania.

Ambapo kila senti inayoingia na kupatikana kutoka vyanzo mbalimbali zimekuwa zikielekezwa kwenye kuleta matokeo chanya kwenye maisha ya watanzania, Kugusa Maisha ya watu ,kuondoa kero,kutatua changamoto,kuleta tabasamu,kuinua maisha ya watu,kutoa ajira kwa watu. Rais Samia ameelekeza na kutumia kila senti katika kupunguza na kuondoa Umaskini wa watanzania na kurahisisha maisha ya watanzania.

Kila senti inayopatikana Rais wetu Mpendwa amehakikisha inakwenda kuchochea maendeleo, kuwawezesha watanzania kujikwamua kiuchumi ,kurahisisha mawasiliano kati ya eneo na eneo na kukuza vipato vya watu pamoja na kuchochea shughuli mbalimbali za biashara na kibiashara.

Hii hapa ni miongoni mwa Miradi kati ya miradi mingi isiyohesabika Iliyotekelezwa na kukamilishwa na Rais wetu Mpendwa. Ambapo kuna mingine aliikuta ikiwa katika hatua za awali kabisa na mingine aliianzisha Mwenyewe.
View attachment 3398179View attachment 3398180View attachment 3398181View attachment 3398182View attachment 3398183View attachment 3398184View attachment 3398185View attachment 3398192

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
No reforms, no election.
 
Kuna mbwa humu watapinga.Jamani kuna watanzania wajinga hadi wanatia kinyaa
Kitendo cha wewe tu kuamini kwamba tume ya taifa ya uchaguzi wa Tanzania ni huru huko ni kutia kinyaa zaidi ya MAVI YA ASUBUHI.
Unataka watu wote wakubali kila jambo umewaumba wewe???
 
Oktoba tunatiki
 
Lissu alikuwa mmbunge kupitia tume ya mama yako?
 
Mbona hiyo kazi kila mtu anaweza kufanya hata tukimpa ZITTO hiyo nafasi anaweza fanya zaidi ya hapo
Unamtaja zito wakati ata mwijaku anaweza kufanya mala 100 Zaidi yake lakini lucas aelewe sisi tunataka presidential material sio hawa anaotulazimisha.
 
Rais Samia ndio kiongozi bora kwa karne hii
 
Back
Top Bottom