GE2025 PICHA: Miradi Mbalimbali iliyokamilishwa na Rais Samia

GE2025 PICHA: Miradi Mbalimbali iliyokamilishwa na Rais Samia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Rais Samia ndio kiongozi bora kwa karne hii
ukisema kiongozi bora wa karne manake unamlinganisha na viongozi wengine na bila shaka una vigezo umetumia hadi kufikia conclusion
hembu twambie VIGEZO ULIVYOTUMIA kujua kwamba samia ni kiongozi wa karne hii
vigezo na viongozi uliowashindanisha nae
 
Mleta uzi unachosema kinahitaji vijana waliona uwezo wa kuona mbele, serikali ya CCM imeleta maendeleo makubwa kupitia Ilani ya Chama. Mimi nimepitia hiyo miradi na kuona mingi. Nikaona wengi wanapiga kelele hajui
 
hajazungumzia wale watu wanaoshindwa kulipia matibabu pale muhimbili kwa kukosa pesa
gharama za kusafushwa figo muhimbili ni shiling 300000.=
wanafunzi wanakaa chini kwa kukosa madawati
trafic wana kula rushwa hadharani tena mchana kweupee
MSEME NA HAYA
 
hata ukifanyika lakini ukweli umeshaujua na dunia inajua kwamba uchaguzi wa tanzania ni uchafuzi
Hata ije Tume ya uchaguzi kutoka Marekani bado CCM itashinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima
 
Hata ije Tume ya uchaguzi kutoka Marekani bado CCM itashinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima
Wewe jamaa una uelewa mdogo sana wa kutambua mambo.
Hakuna aliyesema ccm haishindi kwa kishindo. Ccm itashinda tena kwa asilimia 99.9 kama kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.
Sasa kama ccm itashinda kwa kishindo kwann pasiwrpo na REFORMS??
UWOGA WA NN SASA.???
 
Unataka reforms zipi hizo?
 
Unataka reforms zipi hizo?
Mgombea wa ccm asiteue wenye viti na mkurugenzi wa tume ( kalimantan na mapuri)
Matokeo ya uraisi yahojiwe mahakamani
Polisi wasiwe sehemu ya uchaguzi
Ma ded wasiwe wasimamizi wa uchaguzi huko wilayani.
Mawakala wa uchaguzi wasipitishwe na DEDs
Kusiwe na katakata ya wagombea kama ilivyotokea kwenye uchaguzi wa serikaliza mitaa
Daftar liwe huru kwa vyama
Wagombea wasikatwe katwe
Mengine ongeza wewe
 
Mengi kati ya uliyoyaeleza yamefanyiwa kazi na kurekebishwa.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Tangia kuingia madarakani kwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Amekuwa usiku na mchana akitoa na kuidhinisha mabilionea kwa Matrilioni ya pesa kuelekeza katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na kusogeza huduma za kijamii karibu kabisa na milango na kaya za watanzania.

Ambapo kila senti inayoingia na kupatikana kutoka vyanzo mbalimbali zimekuwa zikielekezwa kwenye kuleta matokeo chanya kwenye maisha ya watanzania, Kugusa Maisha ya watu ,kuondoa kero,kutatua changamoto,kuleta tabasamu,kuinua maisha ya watu,kutoa ajira kwa watu. Rais Samia ameelekeza na kutumia kila senti katika kupunguza na kuondoa Umaskini wa watanzania na kurahisisha maisha ya watanzania.

Kila senti inayopatikana Rais wetu Mpendwa amehakikisha inakwenda kuchochea maendeleo, kuwawezesha watanzania kujikwamua kiuchumi ,kurahisisha mawasiliano kati ya eneo na eneo na kukuza vipato vya watu pamoja na kuchochea shughuli mbalimbali za biashara na kibiashara.

Hii hapa ni miongoni mwa Miradi kati ya miradi mingi isiyohesabika Iliyotekelezwa na kukamilishwa na Rais wetu Mpendwa. Ambapo kuna mingine aliikuta ikiwa katika hatua za awali kabisa na mingine aliianzisha Mwenyewe.
View attachment 3398179View attachment 3398180View attachment 3398181View attachment 3398182View attachment 3398183View attachment 3398184View attachment 3398185View attachment 3398192

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Mom
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ni Kodi za watanzania na ni wajibu wake kutekeleza ....msababu ndiyo kazi aliyopewa na wewe kazini wachana na uchawa❗❗❗❗
 
Back
Top Bottom