Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Nadhani wasaidizi wangu wanaona dharau unazonifanyiaAko ndio nini. Ndio maana nasema Makopo yamekuchanganya.

Weka hapa risiti za kodi zako za kujenga miradi mikubwa kama hiyo.Ni Kodi zetu ndo zinakamilisha ebooh
Usifikirie ni kazi rahisi kama kupiga chafya.Mbona hiyo kazi kila mtu anaweza kufanya hata tukimpa ZITTO hiyo nafasi anaweza fanya zaidi ya hapo
Chadomo watakwambia wanataka iliyoanzishwa na Samia as if Kuna ligiNdugu zangu Watanzania,
Tangia kuingia madarakani kwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Amekuwa usiku na mchana akitoa na kuidhinisha mabilionea kwa Matrilioni ya pesa kuelekeza katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na kusogeza huduma za kijamii karibu kabisa na mirango na kaya za watanzania.
Ambapo kila senti inayoingia na kupatikana kutoka vyanzo mbalimbali zimekuwa zikielekezwa kwenye kuleta matokeo chanya kwenye maisha ya watanzania,kuondoa kero,kutatua changamoto,kuleta tabasamu,kuinua maisha ya watu,kutoa ajira kwa watu. Rais Samia ameelekeza na kutumia kila senti katika kupunguza na kuondoa Umaskini wa watanzania na kurahisisha maisha ya watanzania.
Kila senti inayopatikana Rais wetu Mpendwa amehekikisha inakwenda kuchochea maendeleo, kuwawezesha watanzania kujikwamua kiuchua ,kurahisisha mawasiliano kati ya eneo na eneo na kukuza vipato vya watu pamoja na kuchochea shughuli mbalimbali za biashara na kibiashara.
Hii hapa ni miongoni mwa Miradi kati ya miradi mingi isiyohesabika Iliyotekelezwa na kukamilishwa na Rais wetu Mpendwa. Ambapo kuna mingine aliikuta ikiwa katika hatua za awali kabisa na mingine aliianzisha Mwenyewe.
View attachment 3398179View attachment 3398180View attachment 3398181View attachment 3398182View attachment 3398183View attachment 3398184View attachment 3398185View attachment 3398192
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kupiga chafya ni kazi ngumu labda kushusha kimba ndio simpleUsifikirie ni kazi rahisi kama kupiga chafya.
acha wenge ni wapi amesema sio kodi ya watanzania? ndio maana mnaitwa nyumbuHiyo ni miradi ya watanzania na ni kodi zao
Kwani hizo siyo data? Au umelewa gongo zako.Kumorneena zako , ukiamua kuwa chawa basi kuwa na data za kutosha na za kweli.
Chadomo imejaa mambwa (wajinga) kila kitu kiwe kibay akiwe kizuri wao ni kupinga tu.Chadomo watakwambia wanataka iliyoanzishwa na Samia as if Kuna ligi
Ma CHADEMA hayajitambui kabisa.Chadomo watakwambia wanataka iliyoanzishwa na Samia as if Kuna ligi
Mwendawazimu mkubwa wewe, miradi ya mama utadhani pesa akeacha wenge ni wapi amesema sio kodi ya watanzania? ndio maana mnaitwa nyumbu
Kama kazi imeshafanyika acha wanaonufaika na hizo kazi waongee.Ndugu zangu Watanzania,
Tangia kuingia madarakani kwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Amekuwa usiku na mchana akitoa na kuidhinisha mabilionea kwa Matrilioni ya pesa kuelekeza katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na kusogeza huduma za kijamii karibu kabisa na mirango na kaya za watanzania.
Ambapo kila senti inayoingia na kupatikana kutoka vyanzo mbalimbali zimekuwa zikielekezwa kwenye kuleta matokeo chanya kwenye maisha ya watanzania,kuondoa kero,kutatua changamoto,kuleta tabasamu,kuinua maisha ya watu,kutoa ajira kwa watu. Rais Samia ameelekeza na kutumia kila senti katika kupunguza na kuondoa Umaskini wa watanzania na kurahisisha maisha ya watanzania.
Kila senti inayopatikana Rais wetu Mpendwa amehekikisha inakwenda kuchochea maendeleo, kuwawezesha watanzania kujikwamua kiuchua ,kurahisisha mawasiliano kati ya eneo na eneo na kukuza vipato vya watu pamoja na kuchochea shughuli mbalimbali za biashara na kibiashara.
Hii hapa ni miongoni mwa Miradi kati ya miradi mingi isiyohesabika Iliyotekelezwa na kukamilishwa na Rais wetu Mpendwa. Ambapo kuna mingine aliikuta ikiwa katika hatua za awali kabisa na mingine aliianzisha Mwenyewe.
View attachment 3398179View attachment 3398180View attachment 3398181View attachment 3398182View attachment 3398183View attachment 3398184View attachment 3398185View attachment 3398192
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Sisi na mamilioni ya watanzania wengine wengi ndio wanufaika na ndio maana tunazitangaza.Kama kazi imeshafanyika acha wanaonufaika na hizo kazi waongee.
Kuna ulazima gani wa kuzitangaza humu!?
Au ndio sawa na ile lethality inayosema
'Kizuri chajiuza na Kibaya kinajitembeza'?
Mbona wewe hujatekwa na kuuwawa na ujinga wako ulionaoVitendo vya kuteka, kutesa, kufira, kupoteza na kuua kikatili wakosoaji vimeshamiri sana katika utawala wake.
Hizo zimenunuliwa kwa pesa ya chamaUsisahau na ununuzi wa baiskeli na pikipiki
Ni ya LEMA ,Kenge wewe. Subirini mwezi wa kumi tuwajeshee mvua .Mwendawazimu mkubwa wewe, miradi ya mama utadhani pesa ake
UWT hamna akiliNi ya LEMA ,Kenge wewe. Subirini mwezi wa kumi tuwajeshee mvua .