GE2025 PICHA: Miradi Mbalimbali iliyokamilishwa na Rais Samia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kumorneena zako , ukiamua kuwa chawa basi kuwa na data za kutosha na za kweli.
 
Chadomo watakwambia wanataka iliyoanzishwa na Samia as if Kuna ligi
 
Umeamua kumdhalilisha Mh. Rais Dk. SSH kwa Makusudi???!!!
 
Vitendo vya kuteka, kutesa, kufira, kupoteza na kuua kikatili wakosoaji vimeshamiri sana katika utawala wake.
 
Kama kazi imeshafanyika acha wanaonufaika na hizo kazi waongee.
Kuna ulazima gani wa kuzitangaza humu!?

Au ndio sawa na ile methali inayosema
'Kizuri chajiuza na Kibaya kinajitembeza'?
 
Kama kazi imeshafanyika acha wanaonufaika na hizo kazi waongee.
Kuna ulazima gani wa kuzitangaza humu!?

Au ndio sawa na ile lethality inayosema
'Kizuri chajiuza na Kibaya kinajitembeza'?
Sisi na mamilioni ya watanzania wengine wengi ndio wanufaika na ndio maana tunazitangaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…