Picha: Mohammedi Mchengerwa na Mkewe wakipokea mkono wa pole kutoka kwa Makamu wa Rais aliyefika msibani

Kidogo nimeona kosa sijui picha tu? Kwa mbali huyu mama ngozi yake ya mkono inaonekana yaani baibui lake ni transparent. Kama kweli macho yangu yapo sawa basi haitakiwi mwanamke wa kiislamu kuvaa ngui transparent. Kaka macho yangu makengeza anisamehe
 
Naskia marehemu atazikwa huko huko msiba ulipotokea, kuna mada inasema hvy ila sina uhakika kama kwenye hy picha n Macca.
Anyway, c bado kuna baadhi wataenda kuzika, vp watalipwa perdiem?
Hizo picha hapo hawapo Makka. Ila Marehemu Mzee Omary alizikwa Makka.
 
Ni matatizo tu ya macho yako.
 
Kha...hii kali Mungu Mungu nisaidie nisifike hizi level..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…