shuka chini
JF-Expert Member
- Feb 27, 2024
- 842
- 1,928
Da wewe jamaa umeshindikana kwa uchawa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ndio Mwenyewe. Ni Binti mwenye hekima ,busara , unyenyekevu,upendo na ukarimu mkubwa sana. Hana makuu wala majivuno mtoto wa watu. Hana makidai wala dharau . Ni mpole sana huyu dada hata katika kuongea .siyo mtu wa kujikweza wala kiburi. Ukianza kumsikiliza akiongea unakua unatamani aendelee tu kuongea.
Huyo ndio Wanu Amir Afidh mdogo wake na Abdul Amir Afidh, ulikua unataka kusemaje?Huyo ndio mtoto WA mama Samiyya??
Sijakuelewa Wasafi na dhahabu feki wapi na wapi?dhahabu feki kama ya wasafi
Nimebubujikwa 😢😢Ndio Mwenyewe. Ni Binti mwenye hekima ,busara , unyenyekevu,upendo na ukarimu mkubwa sana. Hana makuu wala majivuno mtoto wa watu. Hana makidai wala dharau . Ni mpole sana huyu dada hata katika kuongea .siyo mtu wa kujikweza wala kiburi. Ukianza kumsikiliza akiongea unakua unatamani aendelee tu kuongea.
Numbisa Dear eX usimjibu huyu amevimbiwa pilau la msibaniKweli akili yako unaijua Mwenyewe. Yaani watu wapo na huzuni halafu wewe unawaza makochi tu. Ndio nyie Mkienda msibani mnawaza kuiba tu vitu vya msibani.
Sina hela lakini hata nikiwa nazo siwezi nunua sofa kama hizo,sawa na mtu kajenga nyumba nzuri halafu ukiingia ndani unakuta tv ni aboder au sundarNdugu zangu Watanzania,
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Philipo Mpango ameweza kufika na kutoa pole na mkono wa faraja kwa Waziri wetu wa TAMISEMI Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa pamoja na Mkewe Mheshimiwa Wanu Hafidhi .
Hii ni kufuatia kifo cha Mzee Omary Mchengerwa ambaye ni Baba mzazi wa Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa. Ambaye alifariki akiwa Ibadani Makka ambako alizikwa huko huko Makka.
Mheshimiwa Makamu wetu wa Rais ametoa pole sana kwa ndugu, jamaa na marafiki kufuatia kifo cha mzee Omary Mchengerwa ambaye ametangulia mbele za Haki.
Nami pia Lucas Mwashambwa naendelea Kutoa pole sana kwa Mheshimiwa Waziri na Familia yake pamoja na ndugu jamaa na marafiki na wote tulioguswa na Msiba huo. Mungu awape Moyo wa subira wakati huu mgumu ambao wanapitia.View attachment 3250589View attachment 3250590
Ndio nakwendaVp wewe unaenda msibani lini,tukusindikize
Sijui huko wanakosafiri kila uchwao huwa wanajifunza nini!,me nilitegemea watu kama hao watakuwa na exposure wanajua vtu vingi kumbe holla tazama hizo sofa mtu wangu, meza ya mikutano ndo imewekwa sebuleni, ukute ukutani kuna tv ya sundar na sabufaPole na msiba.Nje ya mada mwanamke apambe sebule vizuri inangangaa sana na dhahabu feki kama ya wasafi wakati ni first family.
Khaaaaah we jamaa sasa umezidi aiseeeNdio Mwenyewe. Ni Binti mwenye hekima ,busara , unyenyekevu,upendo na ukarimu mkubwa sana. Hana makuu wala majivuno mtoto wa watu. Hana makidai wala dharau . Ni mpole sana huyu dada hata katika kuongea .siyo mtu wa kujikweza wala kiburi. Ukianza kumsikiliza akiongea unakua unatamani aendelee tu kuongea.
Nimezidi nini ndugu yanguKhaaaaah we jamaa sasa umezidi aiseee
Kwakweli,..Makochi ya kifalme opsss kiarabu kisultani. Muda wao kufaidi
Luca umeshindikana.Ndio Mwenyewe. Ni Binti mwenye hekima ,busara , unyenyekevu,upendo na ukarimu mkubwa sana. Hana makuu wala majivuno mtoto wa watu. Hana makidai wala dharau . Ni mpole sana huyu dada hata katika kuongea .siyo mtu wa kujikweza wala kiburi. Ukianza kumsikiliza akiongea unakua unatamani aendelee tu kuongea.
Hapana yule ni mke mdogoHuyo ndio mtoto WA mama Samiyya??
Ndugu zangu Watanzania,
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Philipo Mpango ameweza kufika na kutoa pole na mkono wa faraja kwa Waziri wetu wa TAMISEMI Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa pamoja na Mkewe Mheshimiwa Wanu Hafidhi .
Hii ni kufuatia kifo cha Mzee Omary Mchengerwa ambaye ni Baba mzazi wa Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa. Ambaye alifariki akiwa Ibadani Makka ambako alizikwa huko huko Makka.
Mheshimiwa Makamu wetu wa Rais ametoa pole sana kwa ndugu, jamaa na marafiki kufuatia kifo cha mzee Omary Mchengerwa ambaye ametangulia mbele za Haki.
Nami pia Lucas Mwashambwa naendelea Kutoa pole sana kwa Mheshimiwa Waziri na Familia yake pamoja na ndugu jamaa na marafiki na wote tulioguswa na Msiba huo. Mungu awape Moyo wa subira wakati huu mgumu ambao wanapitia.View attachment 3250589View attachment 3250590
Waislam hawana utaratibu wa kusafirisha wao ukifa unakula zege palepale, serikali ingeweza kutuma ndege tena mkwe ndiyo RaisVipi, walikosa pesa za kusafirishia mwili wa marehemu hata wazike huko uarabuni? naona kama wamekosea.
Mbona mama mkwe haendi kwenye msiba?Yule mke mwingine kafichwa wapi
Pesa za umma zinapigwaMakochi ya kifalme opsss kiarabu kisultani. Muda wao kufaidi