Picha: Mohammedi Mchengerwa na Mkewe wakipokea mkono wa pole kutoka kwa Makamu wa Rais aliyefika msibani

Ndio Mwenyewe. Ni Binti mwenye hekima ,busara , unyenyekevu,upendo na ukarimu mkubwa sana. Hana makuu wala majivuno mtoto wa watu. Hana makidai wala dharau . Ni mpole sana huyu dada hata katika kuongea .siyo mtu wa kujikweza wala kiburi. Ukianza kumsikiliza akiongea unakua unatamani aendelee tu kuongea.
Sema jamaa ana kifua kipana hiyo minyama nyama shoo lazima uwe vizuri maana nyama zinakua zimemwagika mwakiga hovyo kuficha maeneo muhimu!
 
Ndio Mwenyewe. Ni Binti mwenye hekima ,busara , unyenyekevu,upendo na ukarimu mkubwa sana. Hana makuu wala majivuno mtoto wa watu. Hana makidai wala dharau . Ni mpole sana huyu dada hata katika kuongea .siyo mtu wa kujikweza wala kiburi. Ukianza kumsikiliza akiongea unakua unatamani aendelee tu kuongea.
Nipe namba zake nimpe pole...ila pia ni mwulize kwanini mumewe alituharibia uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka jana...halafu nisikilizie hizo sifa ulizompa kama kweli zipo...
 
Ndugu zangu Watanzania,

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Philipo Mpango ameweza kufika na kutoa pole na mkono wa faraja kwa Waziri wetu wa TAMISEMI Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa pamoja na Mkewe Mheshimiwa Wanu Hafidhi .

Hii ni kufuatia kifo cha Mzee Omary Mchengerwa ambaye ni Baba mzazi wa Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa. Ambaye alifariki akiwa Ibadani Makka ambako alizikwa huko huko Makka.

Mheshimiwa Makamu wetu wa Rais ametoa pole sana kwa ndugu, jamaa na marafiki kufuatia kifo cha mzee Omary Mchengerwa ambaye ametangulia mbele za Haki.

Nami pia Lucas Mwashambwa naendelea Kutoa pole sana kwa Mheshimiwa Waziri na Familia yake pamoja na ndugu jamaa na marafiki na wote tulioguswa na Msiba huo. Mungu awape Moyo wa subira wakati huu mgumu ambao wanapitia.View attachment 3250589View attachment 3250590
Salamu nyingi za pole Kwako mh.waziri
Kwa Nia njema TU. Nimewai kuwa mpanga roaster book kwenye mambo ya ulinzi na usalama kwa muda wa miaka miwili..

Maaskari wengi wanatumiaga vilevi pombe Kali, Bangi, ugolo n.k
Nikadevelop uwezo mkubwa wa kutambua mtu akitumia kilevi chochote kile ntamjua TU.

Nikimwangalia mh.waziri Kuna kilevi anakitumia na assume kua sahihi.

Naomba kuwasilisha.
 
Ndio Mwenyewe. Ni Binti mwenye hekima ,busara , unyenyekevu,upendo na ukarimu mkubwa sana. Hana makuu wala majivuno mtoto wa watu. Hana makidai wala dharau . Ni mpole sana huyu dada hata katika kuongea .siyo mtu wa kujikweza wala kiburi. Ukianza kumsikiliza akiongea unakua unatamani aendelee tu kuongea.
Nilisikia pia hapendi upambe,kulamba watu matako na uchawa ili alambe teuzi...nimpole Sana huyu binti.
 
Kwani wewe umeona hapo walipo ni Makka?
Naskia marehemu atazikwa huko huko msiba ulipotokea, kuna mada inasema hvy ila sina uhakika kama kwenye hy picha n Macca.
Anyway, c bado kuna baadhi wataenda kuzika, vp watalipwa perdiem?
 
Ndio Mwenyewe. Ni Binti mwenye hekima ,busara , unyenyekevu,upendo na ukarimu mkubwa sana. Hana makuu wala majivuno mtoto wa watu. Hana makidai wala dharau . Ni mpole sana huyu dada hata katika kuongea .siyo mtu wa kujikweza wala kiburi. Ukianza kumsikiliza akiongea unakua unatamani aendelee tu kuongea.
Acha kujitoa ufahamu, binti wa mama Samia ni mke wa pili.
 
Ndio Mwenyewe. Ni Binti mwenye hekima ,busara , unyenyekevu,upendo na ukarimu mkubwa sana. Hana makuu wala majivuno mtoto wa watu. Hana makidai wala dharau . Ni mpole sana huyu dada hata katika kuongea .siyo mtu wa kujikweza wala kiburi. Ukianza kumsikiliza akiongea unakua unatamani aendelee tu kuongea.
Lakini huyo jamaa SI anamke zaidi ya mmoja Sasa kwanini kwenye mambo mhimu kama haya anaonekana mmoja?
 
Back
Top Bottom