Picha: Msanii Beka Flavour adaiwa kujiunga na Freemasons

Picha: Msanii Beka Flavour adaiwa kujiunga na Freemasons

picha ya juu jamaa mwenye suti anajilazimisha kua serious ili aendane na scene...freemason hakuna umaandazi unaposaini mkataba eti uchukuliwe picha..niggaz hio mikataba inakua ya kuuza nafsi....nasubiri video mpya kutoka kwa beka
 
[emoji848] ukitaka kujifunga form unachukua wapi wakuu
 
[emoji848] ukitaka kujifunga form unachukua wapi wakuu
Kabla ya kujiunga nao kwanza inabidi ufanye kufuru kubwa ili kukidhi vigezo.

Baadhi ya wataalamu wa masuala ya jadi wana njia zao za mkato zinazoweza kukuunganisha kwa urahisi mno.
 
Kabla ya kujiunga nao kwanza inabidi ufanye kufuru kubwa ili kukidhi vigezo.

Baadhi ya wataalamu wa masuala ya jadi wana njia zao za mkato zinazoweza kukuunganisha kwa urahisi mno.

So hao jamaa wa freemason wanamahusiano na wataalamu wa masuala ya jadi???
 
Naona kitabu cha pili kutoka chini alivyoweka huyo kuhani hapo ni MATHEMATICS NECTA REVIEW QNS OF TANZANIA ORDINARY LEVEL (FORM 4)
 
HII HABARI KUNA SEHEMU NIMEIONA NIKAJUA FEKI,ILA KAMA NI KWELI INASIKITISHA SANA KWA NINI HAWA JAMAA WANAUZA NAFSI ZAO KWA SHETANI!!!

freemason ni shetani?

get time kuuelewa
 
Back
Top Bottom