Picha: Msanii Beka Flavour adaiwa kujiunga na Freemasons

Probably issa new video coming out, secret societies initiation ceremony zake hazifanywagi public kiivo
 
Kabla ya kujiunga nao kwanza inabidi ufanye kufuru kubwa ili kukidhi vigezo.
Baadhi ya wataalamu wa masuala ya jadi wana njia zao za mkato zinazoweza kukuunganisha kwa urahisi mno.
Mzee baba ndugu yangu naomba uendelee tu kutupa habari za WCB tu huna uelewa wowotr kuhusu Freemason lwa hii comment yako imedhihirisha hilo..naomba niishie hapo mambo mengine kama hamjui muwe mnakausha tu
 
Kama vitu hujui ni heri uwe unauliza tu kuliko kubisha.
 
Aisee hivi bado unataka ubishane na mimi pamoja na kukuomba usibishie watu kuhusu FM kwakuwa una uelewa mdogo kuhusu Freemason(comments zako zinathibitisha hilo) aya bhana kwakuwa tunatumia ID feki hatujuani si mbaya kila mtu afanye anayotaka adanganye aseme ukweli shauri yake
 
Ninarudia tena, usibishe usivyovijua haswa mambo haya ya giza.
 
Hance unazidi kuthibitisha kwamba huelewi kitu aisee unafikiri kila uchawi ni nguvu za giza(black magic)..kwa taarifa yako unavyohisi wewe kama raia wenzako mtaani mnavyopotoshana kuhusu Freemanson sivyo kabisa..mzungu na Black magic ndio nasikia leo 😂😂
 
Hivi kina jiga mbona walijiweka wazi,kujiunga sio siri unaweza kujitangaza au usijitangaze lakini siri yao ya mambo ya ndani yanabaki siriani,watu wabishi tu leo ukiingia hata YouTube kuna documentary zao na wengine wapo kwenye ibada.
Mda utaongea kama ni video ya wimbo
Kama vitu hujui ni heri uwe unauliza tu kuliko kubisha.
 
Wabongo wengi bado Ni Viazi aisee.. Hivi mnadhani kujiunga Freemason ni Kama Kunya?
Still siamini Kama Tanzania kuna Freemason wa kweli!
Kiki za Kishamba!
 
Unajifanganya,wapo sana,kama we bado huamini kama wapo we ndo upo nyuma

Back
Top Bottom