kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
unakijua ulichokiandika?free mason ya tandale kwa tumbo,,,,,,,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unakijua ulichokiandika?free mason ya tandale kwa tumbo,,,,,,,
sijui,...unakijua ulichokiandika?
[emoji116][emoji116][emoji116]nini maana ya FreemasonHII HABARI KUNA SEHEMU NIMEIONA NIKAJUA FEKI,ILA KAMA NI KWELI INASIKITISHA SANA KWA NINI HAWA JAMAA WANAUZA NAFSI ZAO KWA SHETANI!!!
Piga *15000*666#[emoji848] ukitaka kujifunga form unachukua wapi wakuu
Daah we jamaa nimegundua kumbe hua ni bonge la fala.Mtaani kulikuwa kuna kijana mmoja alikuwa anajihusisha na masuala ya sanaa za maigizo, sasa kikundi chao kwa pamoja waliamua kwenda kwa mganga ili kusafisha nyota zao waweze kung'aa kisanaa.
Walipokwenda kwa mganga walichanjwa chale,kisha wakapakazwa na usembe pamoja na dawa nyingine za kijadi kisha mambo mengine ya kijadi yakafuatiwa ambayo sitayaweka wazi hapa.
Baada ya muda wale vijana wakawa wamejiunga moja kwa moja na dini hiyo ya freemasons.
Cha kwanza kabisa walichoambiwa walitakiwa waende baharini usiku wa manane (kila mmoja kwa wakati wake(walikuwa watatu)),kisha waite majina yao mara tatu baada ya muda atatokea mtu sawa na huyo mtu aliyeita jina lake kisha huyo mtu atampa maelekezo yote na mambo yote yatakayotokea mbeleni.
Baada ya kufanya hivyo hatimaye wakawa wamejiunga kikamilifu na hiyo dini lakini mara nyingi walikuwa wanahudhuria vikao bila wengine kujua haswa nyakati za usiku ,kwa sababu wanaweza kwenda kulala kumbe jamaa wameenda mfano nchi jirani au nje ya mkoa japo kitandani walipolala miili yao ilikuwa inaonekana.
Wakifika huko mara nyingi walikuwa wanafanya biashara ndogo ndogo kwa njia za giza na kufanikiwa kwa kiasi kikubwa mno kipesa.
Changamoto kubwa ilianza kutokea mara baada ya kufikia hatua ya kutakiwa kutoa sadaka.
Nicheki
Piga *15000*666#
Ukifanya tu hivyo utakuwa umeunganishwa
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu unazo copy ee?Nicheki
Shujaa Katika Africa..Kaka kinaitwaje hicho kitabu
Knight in Africa....A journey from bukene.Kaka kinaitwaje hicho kitabu
HII HABARI KUNA SEHEMU NIMEIONA NIKAJUA FEKI,ILA KAMA NI KWELI INASIKITISHA SANA KWA NINI HAWA JAMAA WANAUZA NAFSI ZAO KWA SHETANI!!!