Picha: Mtangazaji wa Azam TV avaa hovyo Ofisini

Mjinga huwa akielimishwa anaelewa. Mpumbavu hukumbatia upumbavu wake kana kwamba ni jambo la kujivunia. Kiswahili fasaha ni kikua si kukuwa. Lakini kwa vile umekumbatia upumbavu na hapo unazidi onesha kuwa wewe maamuma unatafuta justification by using a very weak point. Unasahau hapa tunazungumzia spelling na si matamshi.but hata ingekuwa matamshi mtu au kitu kinakua- grow or to grow. Not kukuwa. Jaman hawa vilaza ndo alioachiwa Dr Maguful na dr kilaza.hili taifa lina safari ndefu sana kubadilishwa. Tumwombe mola tu aingilie kati.maana vilaza ni wabishi wakidhan wanaelewa kumbe wanazid dhihirisha kuwa ni hopeless kabisa
 
Leo hii naye huyu anazungumzia lugha ya kiingereza? Astaghaffilah...ashakum si matusi. Kweli alitendalo mwalo huenda asibaki nalo. Nidhan aota kiarabu.

Dada acha uongo unaota kwa kimalkia Elizabeth, serious?
 
Kweli tatizo kwenye uvaaji lipo lakini sio kwa hiyo hukumu uliotoa. Kwa upande wa kutojua mambo mengi sijamtazama /sijamsikiliza lakini kadri siku zinavyokwenda atajua tu kwani hakuna aliyezaliwa na kujua ("UNATAKIWA KUFIKA OFISINI NUSU SAA 30MIN KABLA YA KUWA HEWANI ") huwa inasaidia kuweka baadhi ya mambo sawa.
 
Chizi maarifa acha kuchizikaaaaw wivu tu.iyoo nguoo ndo mtindo wake sipendi MTU anayefuatilia minor things kama izooo
 
Janga lingine alilolicha "YULE MTU" ni watu wenye uelewa HEWA. YULE AMEACHA MAJANGA JAYA ya vilaza wamekuja hata JF nao kwa ufaham wao mdogo wanataka kubanana hapa na SISI. mtu kma ritz ni zao la elimu ileeee ya YULE. SPECIAL PROGRAM inayowaleta nao waje kutujazia mitaa eti wasomi. Kumbe wasomi njugu. Hii nchi ilikuwa inapotea sana. Kizaz cha wasomi kinapotea kabisa kinabak cha kupeana elimu na doctorate za kununua PHD za kuzawadiwa na mtu bila aibu anataka aitwe dr. 10 years ya umbumbu uliokubuhu na kila kitu hewa.
 
Akikuwa ataacha.
Shangazi FaizaFoxy naunga mkono bidii yako ya kusahihisha makosa katika matumizi ya lugha ya Kiswahili. Siku hizi neno "wimbo" linaitwa nyimbo. Waathirika wakubwa wa kosa hili ni vijana, hii ni ishara kuwa vijana hawajisomei au hawasomi vyanzo sahihi vya lugha fasaha.

Hata hivyo wewe binafsi unahitaji kuangalia makosa haya ambayo unayarudia (Mzanzibari?)..
Kukuwa, neno sahihi ni kukua
Kujuwa, neno sahihi ni kujua
Kuuwa, neno sahihi ni kuua.

Siku njema.
 
Chizi Maarifa, kwanza naanza kutoa lawama kwa jina la utambulisho ulilotumia (ID). Linachangia sisi tukushambulie. Kati ya chizi na maarifa nafikiri chizi ndilo neno baya hivyo "kibinadamu" tutalichagua hilo baya badala ya zuri. Hivyo wewe ni Chizi.

Sasa kuhusu mada uliyoweka, sitazungumzia juu ya ufahamu wa mtangazaji au watangazaji bali kuhusu "kijikosa" kidogo katika uvaaji ambacho kwa sababu ya "uchizi" wako umekosa "maarifa" na kudhani kuwa hilo ni kosa kuuuubwa "kivile."

Dosari hiyo katika kola inaweza kusaidia kuonesha/kuonyesha udhaifu wa watu waliomzunguka huyo dada. Dosari hii, japo watu wanaichukulia poa lakini inajenga picha kuwa crew ya kipindi/programu husika (na hata AZAM TV yote) haiko makini. Kabla ya kwenda hewani kuna mambo kadhaa ya kujiridhisha ikiwa ni pamoja na mavazi, mwonekano, afya na utulivu wa akili wa mtangazaji. Kosa ama dosari ndogo inachangia kujega taswira pana (brand/image) ya kampuni, taasisi au bidhaa.

Ndiyo maana baada ya Mhe. waziri C. K. kuondolewa kwa kuzungumza akiwa "amelewa" lawama hazikuishia kwake tu bali hata kwa wasaidizi wake (hata dereva analaumiwa). Kaondolewa ili kulinda taswira (brand/image) ya uwajibikaji wa serikali mbali na kosa lenyewe la kulewa wakati wa muda wa kazi. Wabongo (Siyo wote) tumezoea sana mchezo wa bora liende na kutuhumu watu kuwa ni haters pale wanapokosoa jambo.

Haitarajiwi dosari kama hii kuonekana CNN ama BBC lakini ikitokea, fahamu tu kuwa kuna watu wanaweza kuwa matatani kwa kuzembea kumkagua mtangazaji. Eti vitu vya wazungu vinatakiwa kuwa vizuri na vyetu "siyo mbaya sana." Sijui kwa nini!!

Mchana mwema.

NB. Mojawapo ya sifa za mtangazaji mzuri ni kuwa na ufahamu wa msingi (basic knowledge) wa mambo mbalimbali na hasa yale anayoyajadili.
 
Mkuu mbona kama umemchukia dada wa watu, kola imekaa vibaya , pia kutojua mambo ya siasa wala mchezo si kigezo.

Kwa hiyo ulitaka aseme kavaa vizuri wakti hata wewe unaona kola imekaa vibaya? Kutokumwambia mtu ukweli ndiko kumpenda? Halafu unasema kutokujua siasa wala michezo si kigezo cha kufanya nini? Unajua maana ya taaluma na ufanyaji kazi wa kitaam? Kama hajui michnzo na siasa maana yake apishe wanaojua wafanye hivyo vipindi badala ya kuharibu muda wa azam na watazamaji.

Nikuambie ukweli, 'UNAFIKI UNAUA", "UJINGA NA DENI", UPUMBAVU NI LAANA", LAKINI "MAARIFA HUTAFUTWA", "UKWELI HUMPONYA MFALME".
 
Mimi nalaumu sana baadh ya wazaz na mfumo wa elimu tulio nao. Unatengeneza watu ambao ni dhaifu kufikiri na wana ukosefu wa madini fikra kichwan. Kuna mtangazaj aliwah kukataliwa TV flan kusoma TAARIFA YA HABARI kwa kuwa tu ana makovu usoni. Huko saudi arabia kuna mtangazaji alifukuzwa kazi kwa kuwa hakuwa na mvuto. Mtangazaj anapovaa nguo kola imekaa vibaya kwa TV Makini ni tatizo kubwa tu. Maana inaonesha umakini kwa yeye na mpiga picha wake si mzuri. Kuna mambo ambayo tumejikuta tunayapuuzia kwa kutokujua au ujinga. Na ndo maana unaweza ona katka TV zetu mtangazaji kavaa koti oversize au tai na shati alivyovaa mwenzie jana naye kavaa hivyo hivyo na shat linaonekana kubwa au kwake dogo.

Ni tanzania unamwona mtangazaji kavaa shati linalopaswa kuchomekewa yeye hajachomekea unawaza pengine hata chini kavaa sandals au slippers.

Mwonekano ni jambo la muhimu sana. TV za kimataifa hilo ni kosa kubwa sana maybe kwa sabab yetu ni local ndo maana tunasema si jambo la maana sana. Kuna mtangazaji BBC aliwah pewa onyo kwa kukosea kutamka neno mara mbili wakat akisoma taarifa ya habari.

Kwa anayesema mtangazaji hana haja ya kujua mada anayojadili huyu anaonekana kiukwel uelewa wake ni wachini sana. Huyu dada sina tatizo naye taarifa ya habari anasoma vzuri. Kwenye majadiliano mada zilikuwa mbili za siasa na michezo. Hajui mambo hayo naye hatak kuonesha hajui so analazimisha aseme kitu na hapo anakosea.sasa kwa nini basi asipewe kozi kwanza kama ni lazima awepo yeye?kwa nini asijisomee?kwa nini wasifanye mazoez kwanza naye ajue watazungumzia nini? Haya mambo yatasababisha kila siku Tv zetu zibak local. Na ndo maana si ajabu kusikia waandishi wa habar wakat wa taarifa ya habari wanapiga story pasipo kujua wapo hewani. Au kusikia wanacheka wakat wa matangazo kwisha kabla tena ya kusoma taarifa ya hbr.

Mimi binafsi nitajadili hoja. Sitojadili jina lako maana jina ni jina tu wapo wanaoitwa malaika au majina ya manabii na mitume lakini hakuna uhusiano wa majina yao na matendo. Kulielewa jina langu kunahitaj uwe na uelewa wa juu. Ni jina la kifalsafa si akili za kawaida zinaweza elewa hili so siwez kukulaumu.

Chizi Maarifa, kwanza naanza kutoa lawama kwa jina la utambulisho ulilotumia (ID). Linachangia sisi tukushambulie. Kati ya chizi na maarifa nafikiri chizi ndilo neno baya hivyo "kibinadamu" tutalichagua hilo baya badala ya zuri. Hivyo wewe ni Chizi.

Sasa kuhusu mada uliyoweka, sitazungumzia juu ya ufahamu wa mtangazaji au watangazaji bali kuhusu "kijikosa" kidogo katika uvaaji ambacho kwa sababu ya "uchizi" wako umekosa "maarifa" na kudhani kuwa hilo ni kosa kuuuubwa "kivile."

Dosari hiyo katika kola inaweza kusaidia kuonesha/kuonyesha udhaifu wa watu waliomzunguka huyo dada. Dosari hii, japo watu wanaichukulia poa lakini inajenga picha kuwa crew ya kipindi/programu husika (na hata AZAM TV yote) haiko makini. Kabla ya kwenda hewani kuna mambo kadhaa ya kujiridhisha ikiwa ni pamoja na mavazi, mwonekano, afya na utulivu wa akili wa mtangazaji. Kosa ama dosari ndogo inachangia kujega taswira pana (brand/image) ya kampuni, taasisi au bidhaa.

Ndiyo maana baada ya Mhe. waziri C. K. kuondolewa kwa kuzungumza akiwa "amelewa" lawama hazikuishia kwake tu bali hata kwa wasaidizi wake (hata dereva analaumiwa). Kaondolewa ili kulinda taswira (brand/image) ya uwajibikaji wa serikali mbali na kosa lenyewe la kulewa wakati wa muda wa kazi. Wabongo (Siyo wote) tumezoea sana mchezo wa bora liende na kutuhumu watu kuwa ni haters pale wanapokosoa jambo.

Haitarajiwi dosari kama hii kuonekana CNN ama BBC lakini ikitokea, fahamu tu kuwa kuna watu wanaweza kuwa matatani kwa kuzembea kumkagua mtangazaji. Eti vitu vya wazungu vinatakiwa kuwa vizuri na vyetu "siyo mbaya sana." Sijui kwa nini!!

Mchana mwema.

NB. Mojawapo ya sifa za mtangazaji mzuri ni kuwa na ufahamu wa msingi (basic knowledge) wa mambo mbalimbali na hasa yale anayoyajadili.
 
Mimi binafsi nitajadili hoja. Sitojadili jina lako maana jina ni jina tu wapo wanaoitwa malaika au majina ya manabii na mitume lakini hakuna uhusiano wa majina yao na matendo. Kulielewa jina langu kunahitaj uwe na uelewa wa juu. Ni jina la kifalsafa si akili za kawaida zinaweza elewa hili so siwez kukulaumu.

Umeelewa lakini nilichoandika?

Ukisoma "kifalsafa" mtiririko wa bandiko langu utagundua kuwa binafsi sina neno na jina lako bali ilikuwa ni satire/parody/irony kwa waliojikita katika hilo. Soma tena. Ndiyo maana nikasema katika aya ya kwanza "kibinadamu".. kuashiria udhaifu/bias ya binadamu. Inaingia akilini kweli niseme "kibinadamu" tena kwa bold iliyo kwenye quotation marks halafu bado nirudie kosa hilohilo (la bias za majina) nikiwa conscious kabisa? Kirahisi hivyo?

Aya ya pili ya nilichoandika nimesema...... "kijikosa" kidogo........"kivile". Aya hii inaonesha nakulaumu, je mazungumzo yaliyofuatia unaona yanaendana na "lawama" hiyo? Tazama mgongano wa aya hiyo ya pili (ambayo nakulaumu wewe) na aya ya tano nawalaumu wanaokulaumu.. je, mimi nasimamia wapi? Au unaona naji-contradict?

Aaah, Umeniangusha kiongozi!!!

BTW. Nitaomba ruhusa ya kuitumia kauli yako fulani uliyotoa katika bandiko la nyuma, labda baada ya mwaka hivi, kwa kazi ya sanaa.
 
Mimi nalaumu sana baadh ya wazaz na mfumo wa elimu tulio nao. Unatengeneza watu ambao ni dhaifu kufikiri na wana ukosefu wa madini fikra kichwan. Kuna mtangazaj aliwah kukataliwa TV flan kusoma TAARIFA YA HABARI kwa kuwa tu ana makovu usoni. Huko saudi arabia kuna mtangazaji alifukuzwa kazi kwa kuwa hakuwa na mvuto. Mtangazaj anapovaa nguo kola imekaa vibaya kwa TV Makini ni tatizo kubwa tu. Maana inaonesha umakini kwa yeye na mpiga picha wake si mzuri. Kuna mambo ambayo tumejikuta tunayapuuzia kwa kutokujua au ujinga. Na ndo maana unaweza ona katka TV zetu mtangazaji kavaa koti oversize au tai na shati alivyovaa mwenzie jana naye kavaa hivyo hivyo na shat linaonekana kubwa au kwake dogo.

Ni tanzania unamwona mtangazaji kavaa shati linalopaswa kuchomekewa yeye hajachomekea unawaza pengine hata chini kavaa sandals au slippers.

Mwonekano ni jambo la muhimu sana. TV za kimataifa hilo ni kosa kubwa sana maybe kwa sabab yetu ni local ndo maana tunasema si jambo la maana sana. Kuna mtangazaji BBC aliwah pewa onyo kwa kukosea kutamka neno mara mbili wakat akisoma taarifa ya habari.

Kwa anayesema mtangazaji hana haja ya kujua mada anayojadili huyu anaonekana kiukwel uelewa wake ni wachini sana. Huyu dada sina tatizo naye taarifa ya habari anasoma vzuri. Kwenye majadiliano mada zilikuwa mbili za siasa na michezo. Hajui mambo hayo naye hatak kuonesha hajui so analazimisha aseme kitu na hapo anakosea.sasa kwa nini basi asipewe kozi kwanza kama ni lazima awepo yeye?kwa nini asijisomee?kwa nini wasifanye mazoez kwanza naye ajue watazungumzia nini? Haya mambo yatasababisha kila siku Tv zetu zibak local. Na ndo maana si ajabu kusikia waandishi wa habar wakat wa taarifa ya habari wanapiga story pasipo kujua wapo hewani. Au kusikia wanacheka wakat wa matangazo kwisha kabla tena ya kusoma taarifa ya hbr.

Mtu akijenga hospitali nzuri, akawa na vitendea kazi vyote, na chumba safi kabisa cha upasuaji lakini bahati mbaya akawa hana daktari wa upasuaji, bila shaka akitokea mgonjwa anahitaji upasuaji, hatapasuliwa kwa sababu hospitali haina mtaalamu wa upasuaji. Kwa lugha nyingine, kuwa na zana za kazi bila wataalam ni tatizo na huwezi kuliziba kwa kuamrisha watu wowote waliopo wafanye hiyo kazi hata kama hawana utaalam. Kwa kawaida, utaahrisha hiyo kazi hadi uajiri mtaalamu, au hadi utakapokuwa na wataalamu kwa ajili ya hiyo kazi.

Watu wanapenda kusikiliza mipira na siasa kama vile mgonjwa anavyohitaji kupona. Lakini kumpa mtu asiyekuwa na utaalam na fani hiyo atangaze kwa kuwa wantu wanahitaji, ni sawa na mfanya kazi wa hospital asiyejua upasuaji, kwenda kupasua mgonjwa kwa sababu tu kuna vifaa an akuna mgonjwa anahitaji hiyo huduma.

Bahati mbaya JF imeingiliwa na watu wa facebook na whatssap. Wanaandika na kupost chochote kwa kuwa simu zao zina whatsapuka. Kwa hiyo usishangae mtu kutokujua umuhimu wa watu kukosolewa wanapofanya kazi nje ya maadili.
 
Back
Top Bottom