nicholasmari
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 1,939
- 1,257
Ukweli ni kwamba tunalalamika kwa kuwa tuko mbali na hizo fursa, hakuna ambaye angezikataa, duniani tunaishi mara moja.Sina mtazamo hasi bandugu, pia sijaandika asivae.

1. Mtoto wa Samia
2. Mke wa Mchengerwa
Mtoto Mashaallah hakyanani. Halafu amerithi Sura Nzuri yenye Huruma ya Kinafiki na Chuki kubwa kwa Wakosoaji wazuri.Wakuu,
Wanu Hafidh Ameir amechukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Makunduchi, Mkoa wa Kusini Unguja Visiwani Zanzibar.
Zoezi la uchukuaji fomu katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) linaendelea nchi nzima ambapo watia nia tofauti wameendelea kujitokeza kwa ajili ya kuchukua fomu za Ubunge na Udiwani.
Tunakumbushana tu, kabla ya kuchukua fomu Wanu alikuwa ni Mbunge wa Viti Maaalum na alikuwa na mchango 0 toka aingie bungeni 2020 according to website ya Bunge!
Soma pia: Mtoto wa Rais Samia, Mbunge wa viti maalum Wanu ana mchango 0 toka aingie bungeni 2020. Huyu kwanini bado anapokea mshahara?
Wanu ni mtoto wa Samia na mke wa Mchengerwa, alikiri mwenyewe akihojiwa3. Mdogo wa Samia.
Aikambe bwana mmari 😂Ukweli ni kwamba tunalalamika kwa kuwa tuko mbali na hizo fursa, hakuna ambaye angezikataa, duniani tunaishi mara moja.
Je! Jimboni kwake mchango wake upoje? Msihukumu tuWakuu,
Wanu Hafidh Ameir amechukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Makunduchi, Mkoa wa Kusini Unguja Visiwani Zanzibar.
Zoezi la uchukuaji fomu katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) linaendelea nchi nzima ambapo watia nia tofauti wameendelea kujitokeza kwa ajili ya kuchukua fomu za Ubunge na Udiwani.
Tunakumbushana tu, kabla ya kuchukua fomu Wanu alikuwa ni Mbunge wa Viti Maaalum na alikuwa na mchango 0 toka aingie bungeni 2020 according to website ya Bunge!
Soma pia: Mtoto wa Rais Samia, Mbunge wa viti maalum Wanu ana mchango 0 toka aingie bungeni 2020. Huyu kwanini bado anapokea mshahara?
Nanyinyi chukueni fomu familia nzima mkuu,ni haki yenu kikatiba!Tamaa haswa hizi familia mume yupo bungeni, mama mkwe Rais bado kwenye taasisi nyeti familia zao zimejaa
Mkuu huna hata time na content ya hii post we ni mizagamuo tu.. sawa familiaDah nikibahtika kupata hii nalamba Hadi clit maninah...hapo anatoa kilio Cha huba tena naaambiwa ntamwambia mama AKUPE kitalu kule mbugani au pasenti mizigo yote bandarini uwe na pasenti zako zikilipiwa huku anagugumia kwa raha oooh jmn bebi mashallah unanikosha unaniua "
..mamaeh...
Kumbe mama ako na watoto wengine?Wakuu,
Wanu Hafidh Ameir amechukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Makunduchi, Mkoa wa Kusini Unguja Visiwani Zanzibar.
Zoezi la uchukuaji fomu katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) linaendelea nchi nzima ambapo watia nia tofauti wameendelea kujitokeza kwa ajili ya kuchukua fomu za Ubunge na Udiwani.
Tunakumbushana tu, kabla ya kuchukua fomu Wanu alikuwa ni Mbunge wa Viti Maaalum na alikuwa na mchango 0 toka aingie bungeni 2020 according to website ya Bunge!
Soma pia: Mtoto wa Rais Samia, Mbunge wa viti maalum Wanu ana mchango 0 toka aingie bungeni 2020. Huyu kwanini bado anapokea mshahara?
Yupo mdogo wake Samia ni NW wa Gwajima.Wanu ni mtoto wa Samia na mke wa Mchengerwa, alikiri mwenyewe akihojiwa
Sio Gwajima ni Awadh yule wa polisiYupo mdogo wake Samia ni NW wa Gwajima.