GE2025 Picha: Mtoto wa Rais Samia, Wanu Afidh Ameir achukua fomu kuwania Ubunge huko Makunduchi, Zanzibar

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Huyo ameshakuwa mbunge tayari sidhani kama hata kura zitapigwa
 
Tamaa haswa hizi familia mume yupo bungeni, mama mkwe Rais bado kwenye taasisi nyeti familia zao zimejaa
Watu wameamua kula shamba la bibi. Wewe raia unalipa kodi wanaenda kula mama, baba na wanae. Kama umeona kila kiongozi anaingiza familia yake bungeni.
 
Watoto wa masikini tuendelee kuswaga meno urithi wetu ni majina tu ya ukoo mama.e,watoto wa vigogo urithi wao ni mavyeo tu.
 
Wakuu,

Wanu Hafidh Ameir amechukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Makunduchi, Mkoa wa Kusini Unguja Visiwani Zanzibar.

Zoezi la uchukuaji fomu katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) linaendelea nchi nzima ambapo watia nia tofauti wameendelea kujitokeza kwa ajili ya kuchukua fomu za Ubunge na Udiwani.

Tunakumbushana tu, kabla ya kuchukua fomu Wanu alikuwa ni Mbunge wa Viti Maaalum na alikuwa na mchango 0 toka aingie bungeni 2020 according to website ya Bunge!

Soma pia: Mtoto wa Rais Samia, Mbunge wa viti maalum Wanu ana mchango 0 toka aingie bungeni 2020. Huyu kwanini bado anapokea mshahara?

Walio NAVYO watubana ( shairi)
 
Wakubwa wanajazana kwenye vyombo vya maamuzi, watoto wa makabwela ndo wapiga kura
 
hahahaha, wanasema mtoto wa nyoka ni nyoka, mtoto anafuata nyayo za mama.

Nyie wengine mama na baba zenu ni walimu mtakuwa walimu pia.

safarini Tehran.
 
Back
Top Bottom