GE2025 Picha: Mtoto wa Rais Samia, Wanu Afidh Ameir achukua fomu kuwania Ubunge huko Makunduchi, Zanzibar

GE2025 Picha: Mtoto wa Rais Samia, Wanu Afidh Ameir achukua fomu kuwania Ubunge huko Makunduchi, Zanzibar

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Yule Namelok anawania jimbo naye? Sasa watagombania na mtoto wa Lowassa Fred au watakatiwa majimbo tofauti?
Sio lazima jimbo mkuu pia kuna viti maalumu mkoa wa Arusha vya kutosha
 
Halafu kuna Sokoine mwingine yule Joseph ni balozi.

Jamaa mtu wa watu sana yule.
Ila Watoto wa Msuya walinifurahisha sana wakati wa msiba. Wanaongea Kiswahili fasaha tena bila kuchanganya na Kingereza, jambo ambalo si kawaida kwa Watoto wa élites wetu
 
Yani kwa hesabu hizi inaweza kuwa rahisi zaidi kuhesabu viongozi ambao watoto wao hawajashiriki katika siasa.

Mkapa - Nick yupo katika Civil Servive kama Deputy Permanent Secretary muda mrefu.

Warioba - Kipi alijaribu kugombea u meya Dar na ubunge Kawe, lakini wakamfanyia figisu.

Salim Ahmed Salim - Watoto wake sijawasikia kabisa kwenye siasa.

Abdulrahman Kinana - Wako kibiashara zaidi.

Cleopa D. Msuya - Binti yake yupo siasa za UN. Bongo kuna uvumi wa mtoto wa nje tu lakini wanawe wanaojulikana hawamo.
 
Ila Watoto wa Msuya walinifurahisha sana wakati wa msiba. Wanaongea Kiswahili fasaha tena bila kuchanganya na Kingereza, jambo ambalo si kawaida kwa Watoto wa élites wetu
Msuya alikuwapo na uncle wangu katika picha ya baraza la makatibu wakuu wa kwanza waafrika wote kwenye serikali ya Nyerere mwaka 1964. Kakukia kwenye serikali ya Nyerere ya mwanzo kabisa ambayo watu walikuwa waangalifu na waadilifu sana, si ajabu kuwa kawafundisha watoto hivyo.

IMG_7324.PNG
 
Wakuu,

Wanu Hafidh Ameir amechukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Makunduchi, Mkoa wa Kusini Unguja Visiwani Zanzibar.

Zoezi la uchukuaji fomu katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) linaendelea nchi nzima ambapo watia nia tofauti wameendelea kujitokeza kwa ajili ya kuchukua fomu za Ubunge na Udiwani.

Tunakumbushana tu, kabla ya kuchukua fomu Wanu alikuwa ni Mbunge wa Viti Maaalum na alikuwa na mchango 0 toka aingie bungeni 2020 according to website ya Bunge!

Soma pia: Mtoto wa Rais Samia, Mbunge wa viti maalum Wanu ana mchango 0 toka aingie bungeni 2020. Huyu kwanini bado anapokea mshahara?

Alichoanzisha Magu kwa Biteko kinaendelea na katiba isipobadilika Rais ajae ataendeleza.
 
Mwingine baba rais mstaafu, mama mbunge, mtoto waziri.

Wamejimilikisha nchi kiukoo.

..Tamisemi ni Wizara katika ofisi ya Raisi.

..Mama Samia ndiye Waziri wa Tamisemi.

..Mohamed Mchengerwa, mkwe wa Rais, ni Waziri wa Nchi Tamisemi.
 
..Tamisemi ni Wizara katika ofisi ya Raisi.

..Mama Samia ndiye Waziri wa Tamisemi.

..Mohamed Mchengerwa, mkwe wa Rais, ni Waziri wa Nchi Tamisemi.
Yani hawa wanaweza kukutana kikao cha familia halafu wakajadili mambo ya kuathiri watu karibu milioni 70.
 
Wakuu,

Wanu Hafidh Ameir amechukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Makunduchi, Mkoa wa Kusini Unguja Visiwani Zanzibar.

Zoezi la uchukuaji fomu katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) linaendelea nchi nzima ambapo watia nia tofauti wameendelea kujitokeza kwa ajili ya kuchukua fomu za Ubunge na Udiwani.

Tunakumbushana tu, kabla ya kuchukua fomu Wanu alikuwa ni Mbunge wa Viti Maaalum na alikuwa na mchango 0 toka aingie bungeni 2020 according to website ya Bunge!

Soma pia: Mtoto wa Rais Samia, Mbunge wa viti maalum Wanu ana mchango 0 toka aingie bungeni 2020. Huyu kwanini bado anapokea mshahara?

Kipoozeo cha wakubwa idodomya
 
Wakuu Siasa ndio biashara Profitable kuliko Biashara nyingine yoyote ile kwa Africa kwanza unapata Pesa na pia unakuwa na Privilege ya Protection kwenye society, Hii Nchi tukienda ivi mpaka 2030, Inabidi 2030 kiingie Chuma kama Kama JPM kije Kufukia mashimo mana itakuwa balaa hawa watu watakula mpaka wavumbiwe
 
Mwisho ni sasa; hiyo 2030 itatoka wapi!
"NO REFORM, NO ELECTION"
 
Mtoto Mashaallah hakyanani. Halafu amerithi Sura Nzuri yenye Huruma ya Kinafiki na Chuki kubwa kwa Wakosoaji wazuri.
Hadi umedindisha we popoma, waweza wahi hapo Makunduchi kuomba mechi, umkojoze hata kimoko. Maana mwenye kifua kipana yuko Rufiji Kwa Sasa.
 
Back
Top Bottom