Mangi Mlay
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 5,743
- 7,106
Nepotism umeitamka ya nini kama watu wanagombeaKuna sehemu nimesema wasiwe wanasiasa? Hiyo ni haki ya kila mtanzania ndo maana kapata fomu ya kugombea, halafu punguza kashfa kwetu wakiwa malaya shida nn kwani tumevunja sheria ya nchi?