GE2025 Picha: Mtoto wa Rais Samia, Wanu Afidh Ameir achukua fomu kuwania Ubunge huko Makunduchi, Zanzibar

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mtoto wa Malecela.
Mtoto wa Samia.
Mkwe wa Samia
Mdogo wake Emmanuel Nchimbi.
Mke wa Kikwete.
Mtoto wa Kikwete.
Mtoto wa Magufuli.
Mtoto wa Lowassa.
Mtoto wa Pinda.
Mtoto wa Makamba
Mtoto wa Nnauye
Mke wa Sitta
Mtoto wa Sitta

Ongeza jina la familia hizi hapa

Bunge linarudia familia zilezile tu.
Mwinyi
 
Mtoto wa Malecela.
Mtoto wa Samia.
Mkwe wa Samia
Mdogo wake Emmanuel Nchimbi.
Mke wa Kikwete.
Mtoto wa Kikwete.
Mtoto wa Magufuli.
Mtoto wa Lowassa.
Mtoto wa Pinda.
Mtoto wa Makamba
Mtoto wa Nnauye
Mke wa Sitta
Mtoto wa Sitta

Ongeza jina la familia hizi hapa

Bunge linarudia familia zilezile tu.
Kambarage Wasira
 
Wakuu,

Wanu Hafidh Ameir amechukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Makunduchi, Mkoa wa Kusini Unguja Visiwani Zanzibar.

Zoezi la uchukuaji fomu katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) linaendelea nchi nzima ambapo watia nia tofauti wameendelea kujitokeza kwa ajili ya kuchukua fomu za Ubunge na Udiwani.

Tunakumbushana tu, kabla ya kuchukua fomu Wanu alikuwa ni Mbunge wa Viti Maaalum na alikuwa na mchango 0 toka aingie bungeni 2020 according to website ya Bunge!

Soma pia: Mtoto wa Rais Samia, Mbunge wa viti maalum Wanu ana mchango 0 toka aingie bungeni 2020. Huyu kwanini bado anapokea mshahara?

Halafu hajui kama ni zambi anajua kawaida tu
 
"I plead the stomachs
Of the privileged few
Greater than the Rift-Valley;
They cannot be satisfied
With a normal share" .....

Poem. Kundi Faraja.
 
Tetesi zinasema atateuliwa na mama yake kuwa waziri wa afya Huku Tanzania bara.Huyu bibi anaupendeleo sana
 
Mtoto wa Malecela.
Mtoto wa Samia.
Mkwe wa Samia
Mdogo wake Emmanuel Nchimbi.
Mke wa Kikwete.
Mtoto wa Kikwete.
Mtoto wa Magufuli.
Mtoto wa Lowassa.
Mtoto wa Pinda.
Mtoto wa Makamba
Mtoto wa Nnauye
Mke wa Sitta
Mtoto wa Sitta

Ongeza jina la familia hizi hapa

Bunge linarudia familia zilezile tu.
Mtoto wa Sumaye anakasi sana huko HANANG anagawa mpunga balaa
 
Wakuu,

Wanu Hafidh Ameir amechukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Makunduchi, Mkoa wa Kusini Unguja Visiwani Zanzibar.

Zoezi la uchukuaji fomu katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) linaendelea nchi nzima ambapo watia nia tofauti wameendelea kujitokeza kwa ajili ya kuchukua fomu za Ubunge na Udiwani.

Tunakumbushana tu, kabla ya kuchukua fomu Wanu alikuwa ni Mbunge wa Viti Maaalum na alikuwa na mchango 0 toka aingie bungeni 2020 according to website ya Bunge!

Soma pia: Mtoto wa Rais Samia, Mbunge wa viti maalum Wanu ana mchango 0 toka aingie bungeni 2020. Huyu kwanini bado anapokea mshahara?

Huyu tayari ni Mbunge kilichobaki ni kupangiwa wizara ya Jinsia wanawake na waatoto
 
Wakuu,

Wanu Hafidh Ameir amechukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Makunduchi, Mkoa wa Kusini Unguja Visiwani Zanzibar.

Zoezi la uchukuaji fomu katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) linaendelea nchi nzima ambapo watia nia tofauti wameendelea kujitokeza kwa ajili ya kuchukua fomu za Ubunge na Udiwani.

Tunakumbushana tu, kabla ya kuchukua fomu Wanu alikuwa ni Mbunge wa Viti Maaalum na alikuwa na mchango 0 toka aingie bungeni 2020 according to website ya Bunge!

Soma pia: Mtoto wa Rais Samia, Mbunge wa viti maalum Wanu ana mchango 0 toka aingie bungeni 2020. Huyu kwanini bado anapokea mshahara?

Ikiwapendeza awe anakuja kuhudhuria hadi bunge la JMT itaongeza viewers TBC/Bunge TV 😍
 
Back
Top Bottom