Picha: Mtunisi awachana "LIVE" Diamond na Wema

Team yake wema wanapenda kuchamba hata kama kitu cha ukweli nashindwaga kuelewa cjui ni Hq ndogo au.nini.sio kila lazima ya kitu waongee
 
Last edited by a moderator:
Kasema ukwelii lakini hawa kina wema na domo ni waislam jina tu na kama wanafunga ni wanajishindisha tu njaa, mtunisi kasema ukwelii dini hairuhusu upikiwe futari na hawara, hao ni wakristo wanajilazimisha uislam tu mfyuuuuu
 
Wamemchamba kaka wa watu, yani natamani ningekuwa mimi ndo nime post hyo picha halafu hao team wema wangenichamba mbona wangefurahi na roho yao
 
Wamemchamba kaka wa watu, yani natamani ningekuwa mimi ndo nime post hyo picha halafu hao team wema wangenichamba mbona wangefurahi na roho yao

Ndio maana walishindwa tuzo walikomeshwaaaaaa
 
Mi nikijiunga insta nahisi ntajiover dose na umbeaa bora nibaki jamiii tuu

Kule mtu ukijamba issue utachambwa had uchanganyikiwe, kama mwenzangu na mie unajifanya mlokole kule hapakufai, yani dakika mbili mbele watu wamepinda hatar

Kuna siku wolper mwenyew ka post picha kuhusu mambo ya mungu, watu wanampa vichambo yani kule insta lazima ujitoe akili binamu ukijifanya serious utakufa kwa presha, sie tushajizoelezea, tushajiweka tayar kwa mapambano maana mda wowote unapokea vichambo from no where
 
Huko sipaweziii aiseee
 
Hv na ww pia unajiita msanii mkongwe?ama kwel ukongwe wa cku izi ni wa kidijitali
 
Duuu jamaa kasema ukweli mtupu Diamond na Wema walikosea na sitoshangaa jamaa akaitwa hater kwa kusema ukweli Unao onekana.
 
Hv na ww pia unajiita msanii mkongwe?ama kwel ukongwe wa cku izi ni wa kidijitali

Msanii mkongwe maana yake ni wa siku nyingi, na mtunisi ni wa mda kuliko hata huyu mama ubaya na ndomo, ndo maana akaitwa mkongwe, tumeelewana binamu?
 
Duu Batuli na uzuri wote ule. Kweli usiombe uzuri omba bahati.

Kila siku anapost picha ya mtunisi instagram halafu anaweka na maneno eti madai anatuzuga, yani unamuona kabisa apa bi shost anawashwa live maana hatulii kila wakat mtunisy
 
Ni kweli n wanazini kwa mujibu wa dini wanandoa gani wema isaac ni mkristo ametiwa maji lini lisilimishwa akawa muislam.had akafturishe ila yote kwa yote mungu ndo mjuzi tutajua kwake siku ikifika
 
yaani kipindi hiki watu wanajifanya watakatifu kweli,kila kosa wataliona wao subiri mfungo uishe sasa
 
Hata bongo movie ni walewale kujifanya wasafi ramadhani tu huku wakizidi kupotosha maadili through filamu zao zilizokosa ethics.
 
kwa hiyo hawa mawaziri kila baada ya kikao cha bajeti watakuwa wanatembea huko mikoani?ss hiyo bajeti wanayoipitisha huko dodoma si ndio watatumia kwenye hizi safari zao?watanzania tutakuwa masikini mpaka kiyama.

Ahhahhhha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…