Huu ndio muonekano mpya wa mama mzazi wa super star diamond platnums, aiseeh ni shigidaaaa, hii inaitwa kupendeza kwa mwendo kasi, hapa hata ukimuweka mama chibu na zari bado zari ataonekana mzee, ukimuweka na wema ndio kabisa wema ataonekana bibi wa miaka 60[emoji16][emoji16][emoji16]
Sitaki kuamini keikwikwiii
Hongera. Naona unatumia WiFi na upo kwenye mtandao wa Badoo.
Matunda ya kunyonyesha na kulea kuliko kufrashia chooni
Inahu.........!
Pesa ndio kila kitu
Kanoga hatari
Haya sasa Mario mpooooo!!!!
Yan huyu ni mama mzazi wa Dangotee?
Pesa inafanya Dunia izunguke.
Mbona unatokwa na povu 🙂🙂🙂 Unauchungu na kujenga nchi! Kajenge sisi tutapanga tu!Sasa sisi inatuhusu nini
Huu umbea wa kijinga sana
Inachangia nini pato la taifa
Haya mambo peleka hukoo tandale
Party ya nini? Sipo insta kwa sasa please nijulishe mzurimie
Haloooo anataka under 18 awabikiri au[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Kwa test za mama wewe ni retired age.
Si kuna tetesi marioo flan mbongo fleva anajiweka!!?Haya sasa Mario mpooooo!!!!
hajhahahAAAAAAAAAAAAAAAAAAHongera. Naona unatumia WiFi na upo kwenye mtandao wa Badoo.
naskia mondi anatoka na mobeto!!Yes, I'm using Wi-Fi, I don't do bundles nowadays, ukiwa mbea lazima uwe na vitendea kazi,aaah lol
Mbona umecheka Sana Mkuu?hajhahahAAAAAAAAAAAAAAAAAA
Mbona umecheka Sana Mkuu?