Picha: Muonekano mpya wa Mama Diamond, ni shigidaa

Picha: Muonekano mpya wa Mama Diamond, ni shigidaa

Hongereni zake amehangaika ujanani ache ale bata uzeeni.
 
akikaa na zari ni kama mtu na Mdogo wake kweli pesa ndio kila kitu
 
Hiyo makeup anaweza akajiangalia kwenye kioo akamwambia mwanae mbona picha ya zari mmeamua kuibandika kwenye kioo
 
Huu ndio muonekano mpya wa mama mzazi wa super star diamond platnums, aiseeh ni shigidaaaa, hii inaitwa kupendeza kwa mwendo kasi, hapa hata ukimuweka mama chibu na zari bado zari ataonekana mzee, ukimuweka na wema ndio kabisa wema ataonekana bibi wa miaka 60[emoji16][emoji16][emoji16]
13692e768c19f5bcd4e1ab62a37b8c8b.jpg

Sitaki kuamini keikwikwiii

Hongera. Naona unatumia WiFi na upo kwenye mtandao wa Badoo.

Matunda ya kunyonyesha na kulea kuliko kufrashia chooni

Inahu.........!

Pesa ndio kila kitu

Kanoga hatari

Haya sasa Mario mpooooo!!!!

Yan huyu ni mama mzazi wa Dangotee?

Pesa inafanya Dunia izunguke.



Sasa sisi inatuhusu nini

Huu umbea wa kijinga sana

Inachangia nini pato la taifa

Haya mambo peleka hukoo tandale
 
Kazi Mr d na z je VP wema angemfikisha hapo mama alipo kwa sasa?
 
kama kweli,basi vijana watakuwa wanatafuna tu kwa mwendo kasi.
 
kama kweli,basi vijana watakuwa wanatafuna tu kwa mwendo kasi.
 
Party ya nini? Sipo insta kwa sasa please nijulishe mzurimie

Ilikiwa birthday party ya Mama D jana usiku ndani ya Madale, ilianza saa 4 usiku.

Zari nae alikuwepo, D alinuimbia mkewe na kumkumbatia, wakalishwa keki nao wakamlisha etc

Watu wengi kama Mange(yule aliepewa talaka na mzungu) wameingia wivu wanatunga story kutoka kwenye picha.
 
Back
Top Bottom