Picha: Muonekano mpya wa Mama Diamond, ni shigidaa

Mwenzangu na nasikia mbeya juzi walikua wote, na nimeona juzi kamwish mama mond happy birthday ,ngoja tusubir huu mchezo binamu utakavyokua
yaaani!!hao team zari walivyocharuka sasaa!!naona wamepagawa balaa!!
 
warumi ujaleta umbea za tetes kuwa simba anatoka na hamisa alafu mama alimlisha zar keki na mkono wa kushoto wengine amewalisha mkono kulia embu jazia nyama huo umbea maana lei ista imechafuka esma dada wa dai anadaiwa ndo kuad kamuonganishia hamisa kwa mond
 
nipeni number za mama yake dangote ili niwe baba yake wa kambo .....wakuu
 
Uwa nasikia anapenda sana dogodogo na alivyo noga kama vile wa below 18 ukigusa tu serikali inakupiga mvua ya 30 na mil 15,000,000/= cash .maana atakuwa naye anasoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…