Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaaani!!hao team zari walivyocharuka sasaa!!naona wamepagawa balaa!!Mwenzangu na nasikia mbeya juzi walikua wote, na nimeona juzi kamwish mama mond happy birthday ,ngoja tusubir huu mchezo binamu utakavyokua
warumi ujaleta umbea za tetes kuwa simba anatoka na hamisa alafu mama alimlisha zar keki na mkono wa kushoto wengine amewalisha mkono kulia embu jazia nyama huo umbea maana lei ista imechafuka esma dada wa dai anadaiwa ndo kuad kamuonganishia hamisa kwa mondHuu ndio muonekano mpya wa mama mzazi wa super star diamond platnums, aiseeh ni shigidaaaa, hii inaitwa kupendeza kwa mwendo kasi, hapa hata ukimuweka mama chibu na zari bado zari ataonekana mzee, ukimuweka na wema ndio kabisa wema ataonekana bibi wa miaka 60[emoji16][emoji16][emoji16]![]()
Samahan niko nnje ya mada hivi wewe ni mfilipino,mhindi au mwarabu?Mh yan hilo gaun limenvutia sana
sikumbukiSamahan niko nnje ya mada hivi wewe ni mfilipino,mhindi au mwarabu?
sikumbukiSamahan niko nnje ya mada hivi wewe ni mfilipino,mhindi au mwarabu?
Mama Wema nae vipii!Na mama Ray C atasemaje?
Shika adabu wewe, wanaume wa Dar wanaume wa Dar. Siku moja nitavunja ile amri ya 11 ili tuweke kumbukumbu sawa kuhusu uanaume wetu maana mmezidi watoto wa shamba.wanaume wa dar tumieni hiyo fursa
Mzee nani tena huyo?Si kuna tetesi marioo flan mbongo fleva anajiweka!!?
Hamisa mabeto?naskia mondi anatoka na mobeto!!
Dah [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bado anaonekana mzee...
Si kuna tetesi marioo flan mbongo fleva anajiweka!!?
yes yes!in shidah insta LeoHamisa mabeto?