Picha: Muvi bora zilizotoka mwaka 2018; umeangalia zipi?

Hahahahaha,
And its very very dark.
Inahitaji fully fledged Parental Guide.
BTW Predetor is the breath of fresh air, nimeipenda sana!
Hahaha bado najiuliza ilikuaje predator likamuacha yule doctor lilipoamka!?..
Ila ile predator killer suit ni noma!..
 
Hahaha bado najiuliza ilikuaje predator likamuacha yule doctor lilipoamka!?..
Ila ile predator killer suit ni noma!..
That's my new suit Baba...
Halafu kumbe yale ni friendly Predetor (Yautja)
Wameonyesha kwenye Cutscenes kwamba kumbe yanaishi Area 51.
 
sequel yake wamesema inafata lini!?..
Ina maana yalienda kuiiba ile suti kwenye planet yao?..
Kuna Invasion ambayo Predetors wanapanga waje waifanye hapa duniani.
Ndiyo maana wametuma Hybrids Predetors kuja kuwasaka wale Predetors wengine.
Sasa kuna Professor moja aliwahi kufanya contact na Predetors miaka ya nyuma sana sanaa.
Ndiyo wakakubaliana kusaidiana ili kuzuia ile Invasion, wakawa wanakaa Area 51. Ile suti "The Predetor Killer" iliibwa ili kuwasiaidia binadamu wapambane na Invasion ya Hybrid Predetors.....
 
Kwa hiyo predator itaendelea?lakin yanaua watu vibayaa mweee
Yanatisha yale majitu
 
Leo nipo Dsm sina chakufanya jioni so nitaenda kuangalia movie Suncrest Cineplex.

1. Night School - 08:00

2 . Peppermint - 10:00

Nimeangalia trailer nimeona hizi ziko poa.
 
Yajayo yanafurahisha!..
Ila na MI: Fallout umeicheki cuz!?.. Kuna mchina aligawa dozi si mchezo![emoji23]..
 
Black panther
Skycrapper
Rampage
 
Hivi MI FALLOUT clean HD version imetoka?
 
Predators huko waliko wanataka kuja Ku colonise earth. Yule mmoja hajakubaliana nao akaiba siraha ya kuwaangamiza ndo ile armor akajanayo yule mwingine akatumwa na mbwa aje amhunt down. Itakayofuata itakuwa nzuri zaidi coz watataka kujua nini kilitokea kwa hunter given tecnology yao watajua wote wakiohusika. Pia itatakiwa watuneshe kilitikea nini huko mpaka waitakr earth.
Kuna nyingine ina idea kama hii inaywa Extinct na nyingine Kin ingawa hii Kin si nzuri saaana labda ktk mwendelezowake itakuja kuwa bomba zaidi
 
Hii ilielezea haya yote, sema tu walizitoa hizo sehemu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…