Hahah khaaa!!!Huna hata namba zake tumsaidie jamaa kumpiga mshipa!
Kwahiyo atakuwa anampelekea ole food kwa magereza au!?
Afu mwenye namba ake anipe na mimiπ
Huna namba kaka mkubwa..?ππSoma hiyoooooo! We injinia EBO!!! Soma hiyoooo.
πππππ Ni aje kwani Best!?
Huna namba kaka mkubwa..?ππ
Mbona holaaaaaπHahahahahaha nimehangaika mtandaoni japo kupata jina lake tu HOLAAAAA! π€£π€£π€£π€£
Hapana buanaa,nammezeaje pisi ya ole?Nawe Umemeza Funda La Mate
Jana kitaaa ni kulewa tu agggggrrr,Hahahahahaha nimehangaika mtandaoni japo kupata jina lake tu HOLAAAAA! π€£π€£π€£π€£
Jana usiku sehemu nyingi chuga bia zilikata, mamaae
Nimerudi nazo home nazitandika hapa mammaeeππππ si ajabu hapo bado uko mbwiiii!
Daah!wazambuli watamgawana kama karanga
Kama namuona vile binamu yangu Shunie anavyotamani yeye ndo angekuwa pisi kama hivi....
Pisi ya kwenda kabsa hii