PICHA: Mwenyekiti wa CCM Taifa Cde Dkt Samia Suluhu Hassan aongoza kikao Cha Halmashauri Kuu kwa Mafanikio Makubwa

Lengo la kikao ni nini? Au wanapitia upya maamuzi yaliyofanywa juu kwa juu ya ku.pitisha kuwa mgombea?
 
Yamevimbiwa hayo🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Amefanikiwa nini kwenye hilo hema?
 
Mafanikio ya nn sasa katika hicho kikao . Ninachojua mafanikio ni mchakato wa mda mrefu unaopimwa kwa matokeo sasa ndugu mwandishi hapo umeteleza kidogo ata kama ni kusifu
 


Ni lini Tanzania tutapata viongozi wenye maono. Naona hapa ni machawa na wanafiki wamejaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…