PICHA: Mzee Jakaya hilo shati nimelielewa sana

Mzee Nyerere

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2024
Posts
219
Reaction score
279
IMG-20240629-WA0275.jpg

Hii shati ya Mzee wangu Jakaya Kikwete nimeipenda sana, Mungu aendelee kukutunza Mzee wetu. We all love you.
======

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ambaye ni Mlezi wa CCM Mkoa wa Pwani ameongoza Hafla ya Harambee ya kuchangia Ujenzi wa Jengo la Shughuli za Kiuchumi za Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Pwani iliyofanyika Hyatt Regency Hotel Jijini Dar es Salaam. Juni 29, 2024.
IMG-20240629-WA0271.jpg
 
Mimi nimeelewa huyo mzee kushoto,
suti imemkaa haswa..
Suti ya Mzee imemwaga kidogo ila mnaoshona nguo za viongozi Mungu anawaona.
Ila roho nzuri inalipa sana,Ona Leo Mzee Jakaya anaonekana kama kijana tu,Tujifunze tuache makasiriko kwenye maisha, Uishi sana Mzee Jakaya na bahama lako🤣🤣
Eti bahama, Mzee Jakaya ni nembo ya furaha na amani ya Taifa letu
 
View attachment 3029419
Hii shati ya Mzee wangu Jakaya Kikwete nimeipenda sana, Mungu aendelee kukutunza Mzee wetu. We all love you.
======

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ambaye ni Mlezi wa CCM Mkoa wa Pwani ameongoza Hafla ya Harambee ya kuchangia Ujenzi wa Jengo la Shughuli za Kiuchumi za Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Pwani iliyofanyika Hyatt Regency Hotel Jijini Dar es Salaam. Juni 29, 2024.
View attachment 3029420
Shati gunia...fambaf kabisa
 
Back
Top Bottom