Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
... sio kila tatizo la tezi dume ni kansa ya tezi dume kama ambavyo sio kila uvimbe wa matiti ni kansa ya matiti, ... hakika wewe sio daktari na ufinyu wako wa maarifa hayo unajidhihirisha!Au anadanganya ile tezidume iliponeshwa
NB: ... wakati unasubiri wenzio wafe, 'count down' yako inaendelea pia!
KIKWETE ATAENDELEA KUISHI MIAKA MINGI BAADA YA UMAUTI, WEWE JE?