Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona Mzee alishapona hii kitu,Tumwombee tu Afya njema... sio kila tatizo la tezi dume ni kansa ya tezi dume kama ambavyo sio kila uvimbe wa matiti ni kansa ya matiti, ... hakika wewe sio daktari na ufinyu wako wa maarifa hayo unajidhihirisha!
NB: ... wakati unasubiri wenzio wafe, 'count down' yako inaendelea pia!
KIKWETE ATAENDELEA KUISHI MIAKA MINGI BAADA YA UMAUTI, WEWE JE?
Mzee wa kushoto katisha zaidi, suti imekaa mahala pake.View attachment 3029419
Hii shati ya Mzee wangu Jakaya Kikwete nimeipenda sana, Mungu aendelee kukutunza Mzee wetu. We all love you.
======
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ambaye ni Mlezi wa CCM Mkoa wa Pwani ameongoza Hafla ya Harambee ya kuchangia Ujenzi wa Jengo la Shughuli za Kiuchumi za Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Pwani iliyofanyika Hyatt Regency Hotel Jijini Dar es Salaam. Juni 29, 2024.
View attachment 3029420
Ila Mzee JK Mshua sana🤣🤣🤣View attachment 3029419

🤣🤣🤣Mzee wa kushoto katisha zaidi, suti imekaa mahala pake.
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Huyu mzee mwili upo ccm akili yake ipo chadema , siku akinikuta nyampala huko mbiguni nitampungizia adhabuView attachment 3029419
Hii shati ya Mzee wangu Jakaya Kikwete nimeipenda sana, Mungu aendelee kukutunza Mzee wetu. We all love you.
======
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ambaye ni Mlezi wa CCM Mkoa wa Pwani ameongoza Hafla ya Harambee ya kuchangia Ujenzi wa Jengo la Shughuli za Kiuchumi za Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Pwani iliyofanyika Hyatt Regency Hotel Jijini Dar es Salaam. Juni 29, 2024.
View attachment 3029420
Hahahah nilijua tuh m4c lazima mtie doaHilo Shati mbona lina Rangi za CHADEMA?!
Huyu mzee anaitwa mzee Mwishehe mlao. Aliwahi kuwa mbunge mkuranga. Ni mzee wangu makini sanaMimi nimeelewa huyo mzee kushoto,
suti imemkaa haswa..
Na pesa inachangia
Njoo uswazi huku watu wana roho safi ila wamepauka mno
Aishi sana Mzee wetuView attachment 3029419