PICHA: Mzee Jakaya hilo shati nimelielewa sana

Au anadanganya ile tezidume iliponeshwa
... sio kila tatizo la tezi dume ni kansa ya tezi dume kama ambavyo sio kila uvimbe wa matiti ni kansa ya matiti, ... hakika wewe sio daktari na ufinyu wako wa maarifa hayo unajidhihirisha!
NB: ... wakati unasubiri wenzio wafe, 'count down' yako inaendelea pia!
KIKWETE ATAENDELEA KUISHI MIAKA MINGI BAADA YA UMAUTI, WEWE JE?
 
Mzee anaumwa?
 
Halafu wazuri huwa hawafi.
Yule Mzee wa Mkuranga ilikuwa ni bahati mbaya tu! Hawafagi hawa
 
Usikaze shingo hapa mapito
 
Jakaya mtu poa sana, nilipata mtaji mpaka leo navimba nao town enzi za huyu Mzee. Kiroho safi alitupa mchongo dingi huyu, tukafanya kazi tukapata hela.
 
Ila roho nzuri inalipa sana,Ona Leo Mzee Jakaya anaonekana kama kijana tu,Tujifunze tuache makasiriko kwenye maisha, Uishi sana Mzee Jakaya na bahama lako🤣🤣
Na pesa inachangia
Njoo uswazi huku watu wana roho safi ila wamepauka mno
 
Hii shati ya Mzee wangu Jakaya Kikwete nimeipenda sana, Mungu aendelee kukutunza Mzee wetu. We all love you.
WaTanzania, kwa SANAA tumefuzu kwelikweli!
Yaani nimecheka na mbavu zikauma kabisa.

Hongera mkuu "Mzee Nyerere" kwa ubunifu huo wa jinsi ya kuelezea jambo kwa ufasaha kabisa katika maneno machache.
 
2025

Ushindi huooo Upinzani.

Sijui kama CHADEMA imejiandaa kushika Dola.
Sijui kama wanayaelewa vizuri maneno yako hayo , mkuu 'Rabbon', hata sina uhakika kama wazo la aina hiyo lilishawaingia akilini mwao hadi sasa..., maana dalili hazionyeshi kuwa wanaelewa hayo unayosema.
 

Mapenzi kitu cha ajabu sana. Na kuna wanawake mkipenda mmependa.
 
Hili shati angevaa msukuma story ingekuwa nyingine
 
Ila roho nzuri inalipa sana,Ona Leo Mzee Jakaya anaonekana kama kijana tu,Tujifunze tuache makasiriko kwenye maisha, Uishi sana Mzee Jakaya na bahama lako🤣🤣
Napenda sana JF

UKISOMA POAT ZA KUMSHAMBULIA HUYU BABA MIAKA İLE HUWEZI AMINI LEO ANASIFIWA

WABONGO WACHAWI AISEE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…