PICHA: Mzee Jakaya hilo shati nimelielewa sana

Naondoka Miye Nawaachia Chuma Hicho
Nakwenda Msoga Nalala Usingizi Baridi Sana
 
Mbona Mzee alishapona hii kitu,Tumwombee tu Afya njema
 
Mzee wa kushoto katisha zaidi, suti imekaa mahala pake.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Ila Mzee JK Mshua sana🤣🤣🤣
 
Huyu mzee mwili upo ccm akili yake ipo chadema , siku akinikuta nyampala huko mbiguni nitampungizia adhabu
 
Jakaya ni mwanaume na nusu. Mungu amlinde Rais wetu. Mioyoni mwetu utaishi milele
 
Mimi nimeelewa huyo mzee kushoto,
suti imemkaa haswa..
Huyu mzee anaitwa mzee Mwishehe mlao. Aliwahi kuwa mbunge mkuranga. Ni mzee wangu makini sana
 

Attachments

  • Screenshot_20240630_100402_Instagram.jpg
    874.3 KB · Views: 1
Na pesa inachangia
Njoo uswazi huku watu wana roho safi ila wamepauka mno

Haiwezekani mtu akawa na roho nzuri,isiyo na makasiriko halafu akapauka,HAIWEZEKANI!
Roho mbaya,makasiriko,visirani,vinyongo n.k ndiyo husababisha mwili kudhoofika na kutopata mafanikio
Ni ngumu sana kumtenga maskini na vitu tajwa hapo.
 
Aishi sana Mzee wetu
 
Jk ni humble guy psychological hata kama mtu anachuki naye anampotezea halafu watu wengi hawajui kwamba jk alikuwa anamkubali sana mwalimu nyerere anaishi footsteps hata uongeaji wake yaan and thats the reality
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…