Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

Status
Not open for further replies.
Kwa muungano huu nape na kinana wanaitaji dawa kwa ajili ya usingizi la sivyo watakesha kuanzia leo mpaka 2015
 
Wahuni hawa,wameishia kupamba uwanja kwa bendera af watu hamna,wanajihutubia wenyewe
 

Zile dawa zako za kichaa cha mbwa umekumbuka kunywa dozi ya mchana..
 
kibo 10 unawaua hawa Gambaz

Endelea hivyohivyo mpaka waombe poooo nyambafu zao hapa bado msafara haujafika..

BACK TANGANYIKA
 
Benson Kigailla yuko bize anagawa viroba kwa makamanda
 
Vijisent vipi yupo?hii ni ishara kuwa watu awataki kusikia rasimu ya 6
 
Magamba mpaka yakojoe mwaka huu, raia wamebadili jina la kituo cha daladala Jangwani sasa wanasema nishushe hapo Ukawa!!

Hahahaha! Umetisha mbaya Kamanda raha raha sanaaaa!! You made my day!
 
Wahuni hawa,wameishia kupamba uwanja kwa bendera af watu hamna,wanajihutubia wenyewe

ifwero upo ndugu tulia dawa iingie coz ndo hivyo tena mou inasainiwa leo kitu ambacho msingependa itokee ila ndo hamna jinsi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…